Tukiruhusu zile enzi za giza kurudi tumekwisha. Tuliponea chupuchupu, kidogo tutekwe wote abaki peke yake

deblabant

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2022
Posts
2,650
Reaction score
4,065
Chonde chonde Rais Samia hata kama wamekuudhi vipi tafadhari tusiridi enzi zile za giza maana wawekezaji wataanza kukimbia tena tukose ajira kwa maelfu ambazo zipo sasa.

Mahoteli yaliyofungwa kipindi kile yote yanafanya kazi sasa. Ukienda pale Manzese watu wanachapa kazi usiku na mchana mana mahoteli yamefurika watu wa ndani na nje.

Kwa sasa tunaishi kwa furaha hatukamatwi tena tukikosoa tofauti na enzi za giza za Hayati Magufuli.

Sasa hivi watu wanaongelea suala la mikopo kwa sababu serikali imekuwa wazi kusema lakini enzi zile hela ilikuwa inakopwa kimya kimya na ukihoji unapotea mazima.

Please and over please tusirudi huko

NB: Hata JamiiForums kodogo ifungwe enzi hizo.
 
Yaani unasifia kurudi kwa majambazi wezi kutetewa na spika wa bunge wala rushwa kusindikizwa na misafara ya ving'ora!
 
Hivi Abduli akifanyiwa aliyofanyiwa Sativa na Mapolisi Mama atafurahi kweli?!

Au ni Mkuki kwa Nguruwe?!🤔😒
 
Back
Top Bottom