GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Wanafunzi wa Shule ya Awali na Msingi Mchepuo wa Kiingereza, Chief Zulu mkoani Ruvuma wamemchangia Rais Samia Suluhu Hassan Sh1,800 kama zawadi.
Baada ya tukio hilo, Rais Samia amesema atawanunulia ng’ombe wawili, mchele kilo 500 na mafuta ya kupikia kwa ajili ya kula shuleni hapo.
Leo, Septemba 24, 2024 Rais Samia anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Ruvuma.
Chanzo: mwananchi_official
Yaani Watani zangu kwa upande wa Mama Wangoni sijui ni nani Kawaroga japo mkiwa Shuleni na Vyuoni mna Akili.