Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Habari.Ninyi askari wa barabarani tumelalama hapa kuhusu pikipiki kuongezwa honi za ajabu,kelele za ziada kwenye bomba la moshi,na hata kutowa mlio mkali kama wa bastola .Je ndiyo kusema kazi imewashinda kudhibiti hawa?