Tukisema kazi imewashinda tutakuwa tumekosea?

Tukisema kazi imewashinda tutakuwa tumekosea?

Habari.Ninyi askari wa barabarani tumelalama hapa kuhusu pikipiki kuongezwa honi za ajabu,kelele za ziada kwenye bomba la moshi,na hata kutowa mlio mkali kama wa bastola .Je ndiyo kusema kazi imewashinda kudhibiti hawa?
Wapo bize na plate number za magari kama tishio la usalama barabarani kwa sasa.

Nchi inapitia mengi hii
 
hakuna anayejali
Dah kweli hakuna anayejali.mf kuna mwaka fulani kulikuwa na matukio ya kutegwa mabomu ya kienyeji mkoa mmoja kusini,sasa baada ya matukio hayo ikawa ukienda kituoni unakaguliwa kwa mashine hata kawaida na kazi hiyo ilifanyika mwezi tu wakaacha.Tunafanya jambo kunapokuwa na tukio ila likipita tunarudia desturi ya kutokujali.
 
Na Mimi nimefunga honi ya harrier kwenye pikipiki yangu ni unyama sana,tuishi Kila mmoja anavyotaka
 
Habari.Ninyi askari wa barabarani tumelalama hapa kuhusu pikipiki kuongezwa honi za ajabu,kelele za ziada kwenye bomba la moshi,na hata kutowa mlio mkali kama wa bastola .Je ndiyo kusema kazi imewashinda kudhibiti hawa?
Bodaboda nyingi ni viongozi wa CCM ambazo walizitoa na kuwakabidhi vijana wakati wa kampeni, hivyo ni lazima walinde biashara zao.
 
Back
Top Bottom