Hakuna anayejali
JF-Expert Member
- Jun 3, 2023
- 418
- 526
Msiwabughuzi wapigakura wetuBODABODA na machinga ni kero kubwa sana kwenye huu mji ila sijui serikali inafeli wapi kuwadhibiti
Wakishua huwa mnajikuta mmeyapatia sana maisha hayaBODABODA na machinga ni kero kubwa sana kwenye huu mji ila sijui serikali inafeli wapi kuwadhibiti
Sio wa kishua yaani sisi watembea kwa miguu tumekosa uhuru,tunakosa Raha Kila Kona wamejaa mjini hakuna hata pa kupita ,mji unaonekana mchafuWakishua huwa mnajikuta mmeyapatia sana maisha haya
Juzi nilipigiwa honi niliyumba na pikpk kumbe ni pikpk nyingine nilikuwa najua itakuwa IVECO semitrailer
Ishu ni hakuna anayejali kama jina lako tu.Habari.Ninyi askari wa barabarani tumelalama hapa kuhusu pikipiki kuongezwa honi za ajabu,kelele za ziada kwenye bomba la moshi,na hata kutowa mlio mkali kama wa bastola .Je ndiyo kusema kazi imewashinda kudhibiti hawa?
Dah hadi tufe kwa mshtuko!!!.Ishu ni hakuna anayejali kama jina lako tu.
Huku Arusha ndio balaa.. Boda boda wa huku akili zao wanazijua wao, Usiku saa 6 anavuta wese kwa nguvu na anachekelea..
Kingine huu mji hauna PATROL kabisa.. hakuna sijaona Patrol ya askari.
Dawa ni kufanya reform tu
Picha inazungumza mengi🙆
Dah sasa itakuwaje?KUNA MZIGO MPYA ZIMEKUJA HONI ZA MELI SASA KWENYE PIKIPIKI
Hatuwabughuzi ila wanatukera.Msiwabughuzi wapigakura wetu
Swala si wakishuwa ila wanatupa manyanyaso wenye maradhi na tusiyopenda kelele zao.Wakishua huwa mnajikuta mmeyapatia sana maisha haya
hakuna anayejaliHabari.Ninyi askari wa barabarani tumelalama hapa kuhusu pikipiki kuongezwa honi za ajabu,kelele za ziada kwenye bomba la moshi,na hata kutowa mlio mkali kama wa bastola .Je ndiyo kusema kazi imewashinda kudhibiti hawa?
kura, tuna uchaguzi mwakani tu hapo.BODABODA na machinga ni kero kubwa sana kwenye huu mji ila sijui serikali inafeli wapi kuwadhibiti