Wapo bize na plate number za magari kama tishio la usalama barabarani kwa sasa.Habari.Ninyi askari wa barabarani tumelalama hapa kuhusu pikipiki kuongezwa honi za ajabu,kelele za ziada kwenye bomba la moshi,na hata kutowa mlio mkali kama wa bastola .Je ndiyo kusema kazi imewashinda kudhibiti hawa?
Dah kweli hakuna anayejali.mf kuna mwaka fulani kulikuwa na matukio ya kutegwa mabomu ya kienyeji mkoa mmoja kusini,sasa baada ya matukio hayo ikawa ukienda kituoni unakaguliwa kwa mashine hata kawaida na kazi hiyo ilifanyika mwezi tu wakaacha.Tunafanya jambo kunapokuwa na tukio ila likipita tunarudia desturi ya kutokujali.hakuna anayejali
Ngoja wakusikie wenye wapiga kura waoHatuwabughuzi ila wanatukera.
Santo sana kwa taarifa
Bp mkuu tatizo.Tulia mkuu
Uhuru ukizidi ni fujo.Na Mimi nimefunga honi ya harrier kwenye pikipiki yangu ni unyama sana,tuishi Kila mmoja anavyotaka
Bodaboda nyingi ni viongozi wa CCM ambazo walizitoa na kuwakabidhi vijana wakati wa kampeni, hivyo ni lazima walinde biashara zao.Habari.Ninyi askari wa barabarani tumelalama hapa kuhusu pikipiki kuongezwa honi za ajabu,kelele za ziada kwenye bomba la moshi,na hata kutowa mlio mkali kama wa bastola .Je ndiyo kusema kazi imewashinda kudhibiti hawa?
Kulinda biashara kutukera watu?hili ni kosa kisheria.Bodaboda nyingi ni viongozi wa CCM ambazo walizitoa na kuwakabidhi vijana wakati wa kampeni, hivyo ni lazima walinde biashara zao.
[emoji16][emoji16][emoji16]Juzi nilipigiwa honi niliyumba na pikpk kumbe ni pikpk nyingine nilikuwa najua itakuwa IVECO semitrailer