Tukisema kuwa Ligi Kuu ya Tanzania ni ya Samjo Samjo / Ujanja Ujanja mnabisha haya sasa msikieni hapa Tanzania One wa muda Wote Juma Kaseja

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.

Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio

Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge?

Tafuteni hii Clip ya Kipindi hiki cha Jana ili msikie mengi ambayo Kutwa tu GENTAMYCINE huwa nawaambia hamuamini.
 
IMG_20240505_203613.jpg
 
Usitusumbue nenda kwanza KAUKWEKE
 
Mkuu hilo ni la kawaida kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Maanake yake ni kwamba Manji aliona uimara wa Simba ulikuwa kwa kipa Juma Kaseja. Hivyo kaamua kuibomoa moja ya ngome ili kuipunguza ubora na makali. Mbinu hii hutumia zaidi hata kwa Africa timu zenye pesa nyingi kama za kiarabu hubomoa mpinzani hatari kwake kwa kuchukua mchezaji tishio kwao. Al Ahly walifanya hivyo kwa kuibomoa Simba kwa kumchukua Luis Miquissone na sio ajabu akaishia kumpigisha benchi.
 
Kalaghabaho...!!
 
"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.

Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio

Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge?

Tafuteni hii Clip ya Kipindi hiki cha Jana ili msikie mengi ambayo Kutwa tu GENTAMYCINE huwa nawaambia hamuamini.
Alikua kipa hodari,so unapunguza nguvu ya mpinzani,barthez na kaseja ni tofauti
 
Hujamwelewa hapo Kipa Juma Kaseja na pia huna unachokijua katika Soka la Bongo ambalo nalijua hakuna mfano.
Hakuambiwa awafunge simba..aliambiwa ili iwe rahisi kuwafunga simba...wewe ndio hujaelewa

hivi mfano..timu ina mafoward wazuri na wanatupia mabao kila muda..lakini pia na wao timu yao haina kipa mzuri anaruhusu mabao muda wote..kuna ushindi hapo???
 
Ukiona hivyo ana uelewa mdogo sana huyo.
 
Mpira huujui muandishi, unajua kwann real maadrid ilibeba wachezaji wote wakali, enzi za kina Beckham?
Unajua kwann hadi leo wachezaji wote wakali wanahusishwa pale?
Duniani kote, hivo ndivyo ilivyo, usije ukadhani, pale saudi arabia watu wanavunja vibubu kupeleka wachezaji wakali, kuamisha utazamaji? Watu wanavuta wachezaji maana wamewekeza kwenye zile timu, haiwezekani muwe na mchezaji mkali sisi tukae kimya, lazma jambo lifanyike.
 
Huyo mchezaji alikuwa anatuhumiwa na timu alizochezea kuwa alikuwa ni mwepesi kwa kuuza timu ndo mana kila msimu aliachwa na timu na kuhamia nyengine
 
"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.

Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio

Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge?

Tafuteni hii Clip ya Kipindi hiki cha Jana ili msikie mengi ambayo Kutwa tu GENTAMYCINE huwa nawaambia hamuamini.
Kaseja Hana udhu wa kuongelea rushwa. Kipa Mla rushwa hata Simba wenyewe wanamjua. Hakuwa na uwezo wa kukataa hela ya hongo ni mwongo Huyo. Kwenye hiyo interview ndo alisema hajastaafu sababu hajawahi kutamka? Bado unamuamini mwongo wa kiwango hicho?
 
"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.

Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio

Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge?

Tafuteni hii Clip ya Kipindi hiki cha Jana ili msikie mengi ambayo Kutwa tu GENTAMYCINE huwa nawaambia hamuamini.
Wewe utakuwa ni zao la MEMKWA bila shaka. Sasa kuna kitu gani cha ajabu kwenye hayo mahojiano? Ulitaka huyo Manji amwambie Kaseja amesajiliwa Yanga ili wafungwe na hao Simba?
 
Back
Top Bottom