GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hujamwelewa hapo Kipa Juma Kaseja na pia huna unachokijua katika Soka la Bongo ambalo nalijua hakuna mfano.ukiwa na kipa mzuri kikawaida kufungwa ina kuwa ngumu hivyo nguvu kubwa mnaelekeza kuwashambulia wapinzani hivyo kutengeneza nafasi kubwa ya kuwafunga......
Usitusumbue nenda kwanza KAUKWEKE"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.
Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio
Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge?
Tafuteni hii Clip ya Kipindi hiki cha Jana ili msikie mengi ambayo Kutwa tu GENTAMYCINE huwa nawaambia hamuamini.
Kalaghabaho...!!Mkuu hilo ni la kawaida kwenye mchezo wa mpira wa miguu.
Maanake yake ni kwamba Manji aliona uimara wa Simba ulikuwa kwa kipa Juma Kaseja. Hivyo kaamua kuibomoa moja ya ngome ili kuipunguza ubora na makali. Mbinu hii hutumia zaidi hata kwa Africa timu zenye pesa nyingi kama za kiarabu hubomoa mpinzani hatari kwake kwa kuchukua mchezaji tishio kwao. Al Ahly walifanya hivyo kwa kuibomoa Simba kwa kumchukua Luis Miquissone na sio ajabu akaishia kumpigisha benchi.
Alikua kipa hodari,so unapunguza nguvu ya mpinzani,barthez na kaseja ni tofauti"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.
Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio
Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge?
Tafuteni hii Clip ya Kipindi hiki cha Jana ili msikie mengi ambayo Kutwa tu GENTAMYCINE huwa nawaambia hamuamini.
Hakuambiwa awafunge simba..aliambiwa ili iwe rahisi kuwafunga simba...wewe ndio hujaelewaHujamwelewa hapo Kipa Juma Kaseja na pia huna unachokijua katika Soka la Bongo ambalo nalijua hakuna mfano.
Ukiona hivyo ana uelewa mdogo sana huyo.Hakuambiwa awafunge simba..aliambiwa ili iwe rahisi kuwafunga simba...wewe ndio hujaelewa
hivi mfano..timu ina mafoward wazuri na wanatupia mabao kila muda..lakini pia na wao timu yao haina kipa mzuri anaruhusu mabao muda wote..kuna ushindi hapo???
Kaseja Hana udhu wa kuongelea rushwa. Kipa Mla rushwa hata Simba wenyewe wanamjua. Hakuwa na uwezo wa kukataa hela ya hongo ni mwongo Huyo. Kwenye hiyo interview ndo alisema hajastaafu sababu hajawahi kutamka? Bado unamuamini mwongo wa kiwango hicho?"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.
Chanzo: Kipyenga Extra Eastafricaradio
Iwe rahisi kuwafunga Simba SC kwani Juma Kaseja ni Fowadi? Kumbe Siku hizi Makipa nao husajiliwa ili Wakafunge?
Tafuteni hii Clip ya Kipindi hiki cha Jana ili msikie mengi ambayo Kutwa tu GENTAMYCINE huwa nawaambia hamuamini.
Wewe utakuwa ni zao la MEMKWA bila shaka. Sasa kuna kitu gani cha ajabu kwenye hayo mahojiano? Ulitaka huyo Manji amwambie Kaseja amesajiliwa Yanga ili wafungwe na hao Simba?"Niliposajiliwa Yanga, Manji aliniambia, lengo la kukusajili hapa ni ili iwe rahisi kuwafunga Simba" - Juma Kaseja.