Tukisema kuwa Yanga SC kuna Matatizo, Mgogoro na Kuhasimiana chini kwa chini baina ya Viongozi na akina GSM muwe mnatuelewa!

Tukisema kuwa Yanga SC kuna Matatizo, Mgogoro na Kuhasimiana chini kwa chini baina ya Viongozi na akina GSM muwe mnatuelewa!

Shida ya hawa wazanzibar ni elimu juu issue nilisikia watu wakamwambia ender Dodoma kuwaona viongozi yeye akawa anazuga tu
 
Tajiri gani atakubali kukaa na utopolo..!?
Hiyo hata ukimpa Dk shika bure hachukui!
Ni suala la muda tu, hao GSM wanawachora tu, wataikacha timu soon, wanataka waishushe daraja kwanza!
Aliyeufufua huu uzi sijui nani ??
 
Back
Top Bottom