Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

kama nani vile mkuu?mara ngap madrid wamemtaka Rooney kawatolea nje?uyu beki mbili wa Arsenal(bellerini)mbna kakataa kwenda Barca
hebu tupe mfano wako ni mchezaji gani bora hata Useme China kama rafiki yangu Diego costa.
Hawakuwa siriazi kuwachukua mkuu, hizo club 2 zikimtaka mchezaji hazishindwi, inawezekana pia hao wachezaji walihofia kukalia bench mpaka matako kuota sugu.
 
Mmekosa point za kuongea et kaleteni ka messi muone kam kataweza mwachen tu aitwe messi
 
EPL ni kipimo tosha kwa wachezaji na makocha!!muulize Gurdiola anaelewa vizuri mziki wa EPL ligi yenye changamoto za kutosha.
Labda mnasifia kutumia manguvu na kupaki bac timu za uingereza zutaendelea kuwa underdog pindi zikutanazo na timu za spain. Ni jambo la ajabu bingwa wa EPL kuwa underdog dhidi ya timu iliyokuwa imeshika nafasi ya tano.
 
Hata ligi ya Zanzibar ina ushindani kama huo wa Epl lakini sio bora. Sasa kama unapenda ushindani kwa nini usifuatilie pia ligi ya Zanzibar.
messi kuwa la liga unaona ligi bora,ngoja astaafu manake ashakua babu,tuone ubora wa liga
 
Labda mnasifia kutumia manguvu na kupaki bac timu za uingereza zutaendelea kuwa underdog pindi zikutanazo na timu za spain. Ni jambo la ajabu bingwa wa EPL kuwa underdog dhidi ya timu iliyokuwa imeshika nafasi ya tano.
haya ni kwa mtazamo wako babu
 
Mkuu unakosea ukisema hivo naona Suarez,Mascherano,Ronaldo,Bale wanakalia bench kwa mujib wa bandiko lako sio acha kupotosha km hujui piga kimya.
 
kama sikosei ilikua mshindi wa UEFa na Europa ile chelsea alikutwa amekaa vibaya ila hizo timu sije zishiriki msimu mzima pale Epl ndo utaona Mwotto wake
Mkuu wewe sio mfuatiliaji wa mpira kumbe, tofauti na ile mechi ya super cup ambayo chelsea alipigwa 2-0, vilevile chelsea alitolewa robo fainali UCL kwa kupigwa 3-1 pale stamford bridge
 
Kwa kinachomkuta bwana yule gadiola aiseeee unaweza ukawa uko sawa
Magwiji wanaojua soka hawawezi gusa ligi ya EPL maana hailei vipaji mfano Ronaldinho, zidane, messi, Rinaldo delima, rivaldo, figo, kaka nk nk wote Hawa wameikimbia EPL na ndo maana sishangai EPL imetoa balon Dior mbili sijui moja
 
EPL ni maarufu na sio bora especially kwa east africa, kawaulize UEFA watakuambia ligi ipi bora
 
Pogba kaingiaje hapo.? Hebu mtoe huyo mkabaji wa roba za mbao. Kwa mujibu wa FIFA hapo ni Toni Kroos, Germany Machine himself.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwamba jamaa anapiga vitasa sana
 
Ni aghalabu sana kuona wa masaki akayamudu maisha ya tandale..
 
kuna yule director wa Barcelona kafukuzwa kazi kisa kasema messi bila wenzake hawezi cheza mpira.

Akija pale akutane na watu kama kina Charlie Adam,Sharwcross,Cahil,Rojo anaweza kukaa nje mwaka mzima kwa ajili ya majeruhi.
Vizuri na ndo maana nikasema EPL hailei vipaji kabisa, wao furaha yao ni kuvunja watu miguu tuuu na ndo maana best players kama Ronaldinho, figo, zidane, Rinaldo delima, kaka, rivaldo waligoma kabisa kuja epl
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…