Msigazi Mkulu
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 4,160
- 3,368
Hawakuwa siriazi kuwachukua mkuu, hizo club 2 zikimtaka mchezaji hazishindwi, inawezekana pia hao wachezaji walihofia kukalia bench mpaka matako kuota sugu.kama nani vile mkuu?mara ngap madrid wamemtaka Rooney kawatolea nje?uyu beki mbili wa Arsenal(bellerini)mbna kakataa kwenda Barca
hebu tupe mfano wako ni mchezaji gani bora hata Useme China kama rafiki yangu Diego costa.