Tukisema ligi ya EPL ndo kipimo Sahihi kwa Makocha na Wachezaji Tutakosea?

Na bado akawanyoosha Man U, Arsenal na Man city
 
Sasa depay alikua ligi gani?? Kama angetokea laliga depay ange shine sana EPL sema nae kazingua tu
 
Mi naona Hawa ambao hawapumziki ndo ilibidi wawe moto wa kuotea mbali maana wanapiga tizi kila day alafu ili uwe na kiwango ni lazima upige zoezi na kucheza mechi nyingi lakini sasa nashangaa Timu za EPL zikishiriki makombe nje ya Uingereza yaani wanakua takataka kabisa
 
Sio afrika ni duniani
 

Wale ni binadamu,miili yao inachoka.
 
Hata ligi ya Zanzibar ina ushindani kama huo wa Epl lakini sio bora. Sasa kama unapenda ushindani kwa nini usifuatilie pia ligi ya Zanzibar.
ndio maana nkasema inaweza isiwe bora kwa ubora mnaoutaka ila ina ushindan kwa maana man cty vs everton bado ni mech nzur ya kuangalia kuliko kuangalia barcelona vs las pamas
 
EPL ni maarufu na sio bora especially kwa east africa, kawaulize UEFA watakuambia ligi ipi bora
Huwezi nishawishi niangalie LA liga maana timu hazina uwekezaji mkubwa kama zamani, Valencia ya Santiago kanzares au zenden sio ya sasa,malaga na kuchukuliwa na tajiri hakuna kitu yaani ukitoa Madrid,Barcelona na athletic Madrid hakuna timu ya kucompete nao, nenda bunderliga ukitoa Dortmund na buyern Munich kuna timu gani za kutamba
 
Sevilla Europa 3 na saizi nafasi ya 2 anashika


Europa kila msimu timu 3,2 lazima ziiingie semi final

Uefa la liga wanatesa


La liga ligi ya technical sana ,ladha ipo hebu tizama siku celta, las palmas wakicheza uone flow za pass

EPL = long balls

Juzi naangalia liver vs man u kila muda mipira ya juu ,butua butua ,misplacement za pass
 
labda lig bora ni kuangalia real madrid anacheza mech za ushindan sita tu msimu mzima
Yeah kuliko kuangalia katimu kanabahatisha kuchukua EPL alafu msimu unaofuata kapo kwenye hatihati ya kushuka daraja
 
Wewe wasema, haya twende EUROPA nazani Liverpool yako haina hamu na sitaki kuongelea UEFA maana huku ni majanga matupu
 
Pale epl shida inakuja pale mtu ana gemu ya uefa then huku aitafuta top four niambie ukizubaa unakosa vyote kuwa top ten tuu epl sio padogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…