Football inamawanda mkuu, mbinu anazotumia mwenzako sio utakazotumia wewe, nakubaliana na wewe ligi ya uingereza haina ufundi na hata wakikutana na wababe wa ligi nyingine wanahangaika Ila napenda ushindani wake hakuna timu kubwa wala ndogo ukizubaa unaliwaWewe wasema, haya twende EUROPA nazani Liverpool yako haina hamu na sitaki kuongelea UEFA maana huku ni majanga matupu
Na kama ni hivyo, unamzungumziaje Antonio Conte wa Chelsea huu ni msimu wake wa kwanza ila anafanya vizuri pia, Kuna Jurgen Klopp pia.Ningesema Vilabu vya Uingereza ni bora kuliko Vingine sawa ila kwa leo nipo upande wa Wachezaji na Makocha.
Hiyo inaitwa second season syndrome, ila kwa leicester imechagizwa zaidi na udogo wa kikosi chao.Yeah kuliko kuangalia katimu kanabahatisha kuchukua EPL alafu msimu unaofuata kapo kwenye hatihati ya kushuka daraja
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]tumemtanguliza Pedro.
Mara nyingi ushindani huleta uboraInawezekana isiwe lig bora kwa maana ya mpira mnaoutaka
Ila Ni lig ambayo ina ushindan mkubwa kuanzia team ya kwanza mpka 20
Umeanza vizuri ila conclusion yako imekinzana na main point yako, uwekezaji wa Manchester City na Leicester city unauzungumziaje?Kinachoifanya ligi ya uingereza kuwa inatamba ni uwekezaji mkubwa wa timu hasa kiuchumi yaani timu nyingi uchumi wake hautofautiani sana sasa angalia LA liga au bundersliga ukitoa Dortmund na munchen hakuna timu zenye uimara wa kushindana nazo. Angalia Felix magath alichukua ubingwa na werder Bremen alipoenda Fulham akashindwa kufanya chochote,hata pep ameshindwa kuendana na kasi ya ligi kuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kuna yule director wa Barcelona kafukuzwa kazi kisa kasema messi bila wenzake hawezi cheza mpira.
Akija pale akutane na watu kama kina Charlie Adam,Sharwcross,Cahil,Rojo anaweza kukaa nje mwaka mzima kwa ajili ya majeruhi.
Yeah kuliko kuangalia katimu kanabahatisha kuchukua EPL alafu msimu unaofuata kapo kwenye hatihati ya kushuka daraja
Ongeza Diego Costa, Pedro, Fabregas n.kUnamzungumziaje Zlatan mliokuwa mkimbeza alipokuwa La liga, Serie A na Ligue 1 kwamba yupo ligi dhaifu, lakini ona anavyowapa shida mabeki wa EPL. Unazungumziaje wachezaji kama Sanchez na Ozil, walivyokuwa wakikalia bench kile la liga na sasa ndo mastaa hapo EPL. Kinachomuangusha Pep ni wachezaji alionao, umri umeenda sana lakini sio kocha dhaifu hata kidogo.
Mkuu, haka katoto nakajua. Kanaanzishaga thread kinazi zaidi, ni hater, haipendi sana Barcelona.sasa mkuu ligi inajengwa na nini timu au matofali?
Sanchez,Ozil,Mustafi,Bailly,David Silva,yaya Toure,otamendi ,Aguero,CarzolaOngeza Diego Costa, Pedro, Fabregas n.k
Umemaliza mjadala, hata Ligi yetu bongo ina ushindani mkubwa saana lakini haimaanishi kwamba ni bora.Inawezekana isiwe lig bora kwa maana ya mpira mnaoutaka
Ila Ni lig ambayo ina ushindan mkubwa kuanzia team ya kwanza mpka 20
Tangu siku Pep anaaga pale Barca, niliamini kuwa Pep sio kocha. Kiufupi ni kwamba jamaa alimkimbia Mourinho, Period! Mm ni shabiki wa Barca na najua ninachokiongea.Kichaa tu ndiye anayeweza kuamini hayo mawazo yako "EPL ni kipimo tosha cha makocha na wachezaji"
Pep Gurdiola amezoea vya kunyonga na vyakuchinja haviwezi na kinachomkumba hapo Man City ni kipimo tosha kuwa yeye si kocha mzuri bali ni mtu aliyezoea kudandia mafanikio ya watangulizi wake ...
Man City wana uwezo wa kifedha na si uwezo wa timu kucheza mpira na hili ni tofauti na wakati Pep anaichukua Barcelona & Bayern Munchen uwezo wa kucheza mpira walikuwa nao vile vile uwezo wa kiuchumi wanao, hivyo basi tunasema hana jipya na ndicho kilichomtokea pale Bayern..
Eti mpaka Bailly na yeye kaenda kuchukua namba Man U!!!!Sanchez,Ozil,Mustafi,Bailly,David Silva,yaya Toure,otamendi ,Aguero,Carzola
,De gea lulu EPL saizi
Kwa Pogba ondoa hiyo EPL, ameingia hapo kutokana na Juhudi zake kule Juventus na sio EPL. EPL ni maiti.Kinachowashinda EPL ni team zenyewe. Uingereza haina team zenye wachezaji wenye nguvu kama tuchukulie La liga.
Mfano ukichukua team zinazorank duniani ni Chelsea inakuja ya tano. lakini La liga inaanza Real Madrid, inafuata Bayern Munchen, Barcelona, Juventus then Chelsea, then Atletical Madrid, Borrusia Dortmund, Arsenal, Benfica, PSG, kwa hiyo unaona katika kumi Spain ziko tatu. angalia First 11 wa fifa utaona majina mengi yanatoka Spain.
Christiano Ronaldo, Lionel Messi and Neymar (attack). Midfield Andres Iniesta, Paul Pogba (EPL), Luka Modric. Defence: Marcelo, Thiago Silva, Sergio Ramos and Dan Alves (all Spain) Keeper Manuel Neuer (Bundasliga)
Kwa hiyo utaona ni wachezaji wangapi wameunda frst eleven je ukiwa kocha utapata shida kuwafundisha?
Embu taja sehemu ambazo wangechukua hao wachezaji uliowaorodhesha. Mfano hao akina Sanchez, Ozil n.kyaani kocha bora ranieri lakin hakuna mchezaj wa timu yake aliyestahili kuingia kwenye kikosi cha dunia!?..inaingia akilin?..hivi kantelele hakufaa kuingia hapo,calwalker hakufaa,coutinho,sanchez,koscielny
ha ha ha ha wapasulie kaka!Jana nilikuwa naangalia game ya Man u vs liver ,sikuona ladha yeyote ile butua butua sana ,mipira mingi inarudishwa kwa kipa kisha kubutuliwa ,timu zote zilikuwa zinapoteza mipira sana ufundi hakuna
Usiku nilitizama game ya Sevilla vs real Madrid hakika nilitamani mpira usiishe ,mpira unachezea chini ,ufundi ,passing ,tactical nk
Pressing ,passing ,ufundi wa kila namna ulikuwepo ,huoni mpira ukipigwa juu hovyo au pass mbovu ,dribble za uhakika
Real Madrid ,Barca ,Atletico ,Sevilla watatawala sana ulaya kwa namna hii
Na hao leceister kazi wanayo kwa mpira wao wa kupaki basi dhahma itawapata kutoka kwa Sevilla
EPL bla bla halafu mguuni mpira mbovu butua butua. Ndio mechi za ulaya huwa wanaishia kupaki basi tu