Kinachowashinda EPL ni team zenyewe. Uingereza haina team zenye wachezaji wenye nguvu kama tuchukulie La liga.
Mfano ukichukua team zinazorank duniani ni Chelsea inakuja ya tano. lakini La liga inaanza Real Madrid, inafuata Bayern Munchen, Barcelona, Juventus then Chelsea, then Atletical Madrid, Borrusia Dortmund, Arsenal, Benfica, PSG, kwa hiyo unaona katika kumi Spain ziko tatu. angalia First 11 wa fifa utaona majina mengi yanatoka Spain.
Christiano Ronaldo, Lionel Messi and Neymar (attack). Midfield Andres Iniesta, Paul Pogba (EPL), Luka Modric. Defence: Marcelo, Thiago Silva, Sergio Ramos and Dan Alves (all Spain) Keeper Manuel Neuer (Bundasliga)
Kwa hiyo utaona ni wachezaji wangapi wameunda frst eleven je ukiwa kocha utapata shida kuwafundisha?