GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mwambieni Kipa wa Dodoma Jiji FC mliyemuhonga Demu wake wa Magomeni nasi tutazimalizia Hasira zetu za Upuuzi wake alioufanya leo Kwake kwa kumpelekea Moto hadi Mimba.Tayari Muhaho Umeanza [emoji1787][emoji1787], Mkuu Nyie Si Ndo Mabingwa Wapya Wa NBC Premier League Ndenge Nn Sasa? Nyie Shindeni Mechi Zenu Na Sisi Tusuluhu Mechi Zetu [emoji4]
Unamuonea Bure Yule Kipa....ile Bunduki ilimletea Mchachawizo Akachachawa..Kwa Lile Bomba Sio Mchezo Mkuu...Ngoma Kama Inakuja Inakata Kama Inakuja Af Inapotea Tena..Hamad! Kitu Hiki Apa Kila Akipangua Bado Anaiona Imo Kila Akipangua Bado Imo...Mwishoee Imoooooooo!! Na Sitashangaa Kama Alitoa Hewa Chafu Pale [emoji1787]Mwambieni Kipa wa Dodoma Jiji FC mliyemuhonga Demu wake wa Magomeni nasi tutazimalizia Hasira zetu za Upuuzi wake alioufanya leo Kwake kwa kumpelekea Moto hadi Mimba.
Tayari Muhaho Umeanza [emoji1787][emoji1787], Mkuu Nyie Si Ndo Mabingwa Wapya Wa NBC Premier League Ndenge Nn Sasa? Nyie Shindeni Mechi Zenu Na Sisi Tusuluhu Mechi Zetu [emoji4]
Ongea hoja iliyoko mezani acha kuruka ruka.Hata huyu naye alikula mlungura...
A popoma will always remain a popoma whether he goes to school, or not.Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?
Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana....
Ile fataki hata pazia Manula likiwahi pigiwa na Mauya kitu nyavuniUnamuonea Bure Yule Kipa....ile Bunduki ilimletea Mchachawizo Akachachawa..Kwa Lile Bomba Sio Mchezo Mkuu...Ngoma Kama Inakuja Inakata Kama Inakuja Af Inapotea Tena..Hamad! Kitu Hiki Apa Kila Akipangua Bado Anaiona Imo Kila Akipangua Bado Imo...Mwishoee Imoooooooo!! Na Sitashangaa Kama Alitoa Hewa Chafu Pale [emoji1787]
Mauya Ni Muuaji [emoji23]Ile fataki hata pazia Manula likiwahi pigiwa na Mauya kitu nyavuni
Magoli hayo ndio kilema cha ManulaNaomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?
Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana...
Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?
Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana...
Uache upuuzi!!! Huoni goli la pili ilikuwa ni bahati mbaya?Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?
Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana...
Jinyonge na makamasi[emoji28]Ongea hoja iliyoko mezani acha kuruka ruka.
Ndiyo maana mlifeli mitihani huko shuleni.
Sasa niruke vipi, kama unajiongelea ww swala la kufeli sawa,ila mimi sijawahi kufeli shule, tukiweka vyeti humu utajiona mnyonge na bonge la fala.Ongea hoja iliyoko mezani acha kuruka ruka.
Ndiyo maana mlifeli mitihani huko shuleni.
Mkuu unataka kusema na ID ya mzee wa kazi chafu ni yake pia?Mkuu Popoma si tushakubaliana kuwa hamna kuanzisha mada na kujijibu mwenyewe
View attachment 2225931