Tukisema Rushwa imetembea Dodoma Jiji FC hamtaki Kuamini

Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?

Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana?

Huu Mpira walioucheza Dodoma Jjji FC Kipindi cha Pili walikuwa wapi Kuucheza Kipindi cha Kwanza?

Hivi Kipa Makini anaweza Kufungwa Magoli ya Kipopoma ( Kipumbavu ) kama aliyofungwa huyu Kipa wa Dodoma Jiji FC wa leo?

Haya jiandaeni pia na Kuwahonga Simba SC ili katika Mechi yenu nao ya Nusu Fainali ya ASFC mshinde Kudadadeki zenu.

Yaani Mnahonga hadi mnashtukiwa!!!!!
Hivi kuna timu kwa sasa inayoqeza kuhongwa wakati ikijua ligi hii ipofikia kila timu inaweza shuka daraja?
 
Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?

Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana?

Huu Mpira walioucheza Dodoma Jjji FC Kipindi cha Pili walikuwa wapi Kuucheza Kipindi cha Kwanza?

Hivi Kipa Makini anaweza Kufungwa Magoli ya Kipopoma ( Kipumbavu ) kama aliyofungwa huyu Kipa wa Dodoma Jiji FC wa leo?

Haya jiandaeni pia na Kuwahonga Simba SC ili katika Mechi yenu nao ya Nusu Fainali ya ASFC mshinde Kudadadeki zenu.

Yaani Mnahonga hadi mnashtukiwa!!!!!
kwani wewe ulitaka afungwe nani?ili iweje mamba wewe?
 
Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?

Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana?

Huu Mpira walioucheza Dodoma Jjji FC Kipindi cha Pili walikuwa wapi Kuucheza Kipindi cha Kwanza?

Hivi Kipa Makini anaweza Kufungwa Magoli ya Kipopoma ( Kipumbavu ) kama aliyofungwa huyu Kipa wa Dodoma Jiji FC wa leo?

Haya jiandaeni pia na Kuwahonga Simba SC ili katika Mechi yenu nao ya Nusu Fainali ya ASFC mshinde Kudadadeki zenu.
Mashabiki wa Dodoma fc watulia hawana stress ila wanaoumia ni makolo

Yaani Mnahonga hadi mnashtukiwa!!!!!

Mechi.png
 
Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?

Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana?

Huu Mpira walioucheza Dodoma Jjji FC Kipindi cha Pili walikuwa wapi Kuucheza Kipindi cha Kwanza?

Hivi Kipa Makini anaweza Kufungwa Magoli ya Kipopoma ( Kipumbavu ) kama aliyofungwa huyu Kipa wa Dodoma Jiji FC wa leo?

Haya jiandaeni pia na Kuwahonga Simba SC ili katika Mechi yenu nao ya Nusu Fainali ya ASFC mshinde Kudadadeki zenu.

Yaani Mnahonga hadi mnashtukiwa!!!!!
Muulize Aishi Manula alivyofungwa goli kama lile la leo, alihongwa shilingi ngapi?
 
Timu iliyomtoa Simba imemepigwa moja omu kwake ingwa kapita kipopoma tu katk fainali
 
Naomba kujua Kiungo tegemezi Mkandala kaumia wapi mpaka kaomba Kutolewa?

Je, huyu Waziri Junior lege lege wa leo ndiyo yule ambaye hucheza na Simba SC kwa Kupambana sana?

Huu Mpira walioucheza Dodoma Jjji FC Kipindi cha Pili walikuwa wapi Kuucheza Kipindi cha Kwanza?

Hivi Kipa Makini anaweza Kufungwa Magoli ya Kipopoma ( Kipumbavu ) kama aliyofungwa huyu Kipa wa Dodoma Jiji FC wa leo?

Haya jiandaeni pia na Kuwahonga Simba SC ili katika Mechi yenu nao ya Nusu Fainali ya ASFC mshinde Kudadadeki zenu.

Yaani Mnahonga hadi mnashtukiwa!!!!!
Tutawahonga kama ile match ya Ngao ya Jamii.
 
Back
Top Bottom