Tukisema Yanga SC kuna Njaa na Shida muwe mnatuelewa tafadhali

Waondoke hata wote, january tutasajili wengine, kuna timu wachezaji hata mishahara hawana wanapewa posho tu, na wanacheza,

Siku zote mawazo ya Mpumbavu / Popoma huwa kama haya yako.
 
Waondoke hata wote, january tutasajili wengine, kuna timu wachezaji hata mishahara hawana wanapewa posho tu, na wanacheza,

Siku zote mawazo ya Mpumbavu / Popoma huwa kama haya yako.
 
Huyu Syney na Lamine Moro walikuwa wanazunguka tu mtaani hata mia ya kula hawana, leo wamepata zari ya kuchezea timu kubwa wanaleta kiburi, watimuliwe haraka

Ulikuwa wapi Siku zote ' Kuyatapika ' kama siyo ' Kuyaharisha ' haya yote? Walipeni Pesa zao upesi kwani mkifanya mzaha wakienda FIFA mnaweza mkapigwa ' Rungu ' na msije Kuamini Macho na Masikio yenu. Ndiyo maana hata Mwenyekiti wenu Dkt. Mshindo Msolla alisema na Kunukuliwa akisema kuwa Mashabiki wa Yanga SC ni Wapumbavu. Huenda kwakuwa Kitaaluma Yeye pia ni Mtafiti mzuri basi labda alishafanya Utafiti ndani ya Vichwa ' vibovu vibovu ' vya wana Yanga wengi ( japo siyo wote )
 
Waondoke tu hao zahera fc hata kikosi B tutapandisha kusukuma gurudumu hapa Daima mbele

Siku zote Mawazo ya Watu wenye ' Uchi wa Akili ' huwa ni kama haya yako Mkuu. Walipeni upesi na haraka Pesa zao tafadhali.
 

Kama ni kweli uongozi wa sasa wa Yanga una matatizo....Uongozi hauna uzoefu kabisa na masuala ya uendeshaji wa klabu
 
Anaofia kukosa namba uyo baada ya mjomba wake zahera kuondolewa

Yanga daima mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…