Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulinganisha Azam Complex na hizo takataka1..Azam Chamazi Complex
2..Simba Bunju Complex
3..Yanga Jangwani Dimbwilex
Umekubalia kua yang ni team ndogoHuyu Syney na Lamine Moro walikuwa wanazunguka tu mtaani hata mia ya kula hawana, leo wamepata zari ya kuchezea timu kubwa wanaleta kiburi, watimuliwe haraka
Du mbona majanga!
Waondoke hata wote, january tutasajili wengine, kuna timu wachezaji hata mishahara hawana wanapewa posho tu, na wanacheza,
Waondoke hata wote, january tutasajili wengine, kuna timu wachezaji hata mishahara hawana wanapewa posho tu, na wanacheza,
Huyu Syney na Lamine Moro walikuwa wanazunguka tu mtaani hata mia ya kula hawana, leo wamepata zari ya kuchezea timu kubwa wanaleta kiburi, watimuliwe haraka
Waondoke tu hao zahera fc hata kikosi B tutapandisha kusukuma gurudumu hapa Daima mbele
EXCLUSIVE: "Nimeandika barua ya kuvunja mkataba na Yanga kwa sababu sijalipwa mishahara yangu kwa muda wa miezi mitatu sasa. Mimi ni raia wa kigeni unategemea nitaishi vipi hapa"-Lamine Moro mchezaji wa Yanga.
Chanzo Habari: Mtandao wa Shaffih Dauda Leo tarehe 7 Disemba 2019
EXCLUSIVE: Falcao ameomba kuondoka ndani ya Yanga kufuatia kutolipwa mshahara wake wa miezi miwili. Inaelezwa.
Chanzo Habari: Mtandao wa Saleh Ally ule wa salehjembe Leo tarehe 7 Disemba 2019
Naomba aliyewahi Kusikia mahala popote pale Mchezaji wa Simba SC analia ' njaa ' kama hawa Wawili wa Yanga SC aweke Ushahidi wake hapa kama huu uliowekwa hapa. Niliwaambieni Yanga SC kuwa huyo Mwenyekiti wenu ni Simba SC ' dam dam ' hamniamini na hivi tunamalizana nae ' Kimjini Mjini ' ili Kelvin Yondan atue rami Msimbazi dirisha dogo kwani Kocha mpya Ibenge kutoka DRC Congo na Pitso Mosimane kutoka Afrika Kusini wote wanamuhitaji Kikosini.
Na tarehe 4 January 2020 tunaenda Kumfukuzisha Kazi Kocha Mkwasa kwa Kipigo ' Kitakatifu ' kwa Mchina.
Mliwakuta mtaa ganiHuyu Syney na Lamine Moro walikuwa wanazunguka tu mtaani hata mia ya kula hawana, leo wamepata zari ya kuchezea timu kubwa wanaleta kiburi, watimuliwe haraka
Nipo Binamu. Naona WanaYanga tumetulia. Upande wa pili ndio munaweweseka.Yote maisha Mungu iwezeshe Yanga japo jeuri lkn tuwahurumie... Bina upo Shadeeya
Nimekuja aisee!! Naamini ipo siku huyu bundi atapita tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]DadaNimekuja aisee!! Naamini ipo siku huyu bundi atapita tu.
Naona unanicheka mdogo wangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada