Poleni sana watani wetuNimekuja aisee!! Naamini ipo siku huyu bundi atapita tu.
Ni muda mwafaka sasa RITA watangaze Yanga Mfilisi
Yule sibomana vipi hajavunja mkataba
Binamu nimpenda hayo mashairi 😂😂😂Nipo Binamu. Naona WanaYanga tumetulia. Upande wa pili ndio munaweweseka.
Hao sio wa kwanza kuichezea Yanga Binamu hivyo kama wanaenda waende watakuja wengine kama walivyokuja wao.
🤣🤣🤣Binamu nimpenda hayo mashairi 😂😂😂
1..Azam Chamazi Complex
2..Simba Bunju Complex
3..Yanga Jangwani Dimbwilex
Mtani huyu bundi ameshataga mayai tayari mpaka atotoee na makinda waanze kuruka ni mwaka mzima na usee! Poleni sanaNimekuja aisee!! Naamini ipo siku huyu bundi atapita tu.
Mimi shabiki wa Yanga kukazia hii kauli yako nahisi vitu viwili huenda kweli hela hakuna (70%) au wanawafanyia kusudi(30%) hawawataki wanataka kusafisha kila kilicholetwa na Zahera kitu ambacho si sahihi km mtu humtaki mpe stahiki zake aende sio kuachana kihuni tutakuja sumbuana mara tff mara fifa na kuna wachezaji kawaleta Zahera lakini wazuri tu mfano Lamine na Farouk sasa kwanini tuwaache? Nina mashaka na Msolwa yule mzee mnyama sio Jangwani!Hawa ni wachezaji aliowaleta Mwinyi Zahera yeye kasepa na wachezaji nao hawawezi kubaki
Hili ndio la msingi dada yaani nakereka sana na hii hali kila siku labda kesho huu uongozi hauna experience kabisa bora uongozi uliopita haukuwa na kubwa kuliko,Gsm wala taifa gas wakaunga unga hivyo hivyo!Nimekuja aisee!! Naamini ipo siku huyu bundi atapita tu.
Haaaaaahaaaaa nyani haoni kundule kwani we mtanzania? unayemcheka huyo ndugu yako nchi moja!Kwao kuna Vita hivyo ameamua abanane hapa hapa Kariakoo Tanzania ili Kujiokoa na kuwa na Usalama wa Maisha yako Kiujumla.
Hatutaki pole yenu Mtani. 😜 Ila nina imani ipo siku tutakaa sawa tu.Mtani huyu bundi ameshataga mayai tayari mpaka atotoee na makinda waanze kuruka ni mwaka mzima na usee! Poleni sana
Sawa dada genta tumekisikia
Eeeh kwaiyo Yanga wachezaji yapaswa wachezee bure?Huyu Syney na Lamine Moro walikuwa wanazunguka tu mtaani hata mia ya kula hawana, leo wamepata zari ya kuchezea timu kubwa wanaleta kiburi, watimuliwe haraka
Dada genta upo?
Hahahaaaa yamekuwa hayo tena kumbe jamaa anakojoa huku kachuchumaa??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mjukuu wangu genta upo?Kumbuka kwa Kauli yako hii unamdhalilisha hata Mama yako Mzazi na siyo tu GENTAMYCINE pekee. au Mwenzetu hujazaliwa na Binadamu Mwanamke na labda umezaliwa na Kopo tu? Hivi kuna Mama wa ' Member ' yoyote wa JamiiForums ambaye hakojoi akiwa amechuchumaa? Kwa hiyo kwa Kauli yako hii unadhani umenilenga tu Mimi pekee na hujawalenga Wazazi wa wengine hapa na hata Wanawake wote duniani? Halafu nikiwa nasema kuna Watu wengi hapa ni ' Wapumbavu ' mnanuna na Kunikasirikia wakati kumbe Kiuhalisia na Kiukweli huwa nakuwa sahihi kwa 100% zote tu.