Tukisema Yanga SC kuna Njaa na Shida muwe mnatuelewa tafadhali

Tukisema Yanga SC kuna Njaa na Shida muwe mnatuelewa tafadhali

Kuna watu hapa ikifika tarehe 25 wanaulizia kama mshahara umetoka na ukicheleweshwa siku moja matusi juu lakini wakisikia wachezaji wao wamegoma hawajalipwa wanaanza kuwatukana na kuwaambia yanga ilikuwepo sasa hivi mpira ni ajira mtu anafikiria maisha yake baada ya kustaafu yanakuwaje angalia waliocheza kwa mapenzi wako wapi sasa
 
1..Azam Chamazi Complex
2..Simba Bunju Complex
3..Yanga Jangwani Dimbwilex
0F18D22E-CA9E-4A9A-8B27-064F32A55761.jpeg

Gwambina wana Stadium wamekaa kimya..Eagle queens kajiwanja kelele ..lakini sawa hamjawahi kuwa na uwanja toka dunia iumbwe
 
Hawa ni wachezaji aliowaleta Mwinyi Zahera yeye kasepa na wachezaji nao hawawezi kubaki
Mimi shabiki wa Yanga kukazia hii kauli yako nahisi vitu viwili huenda kweli hela hakuna (70%) au wanawafanyia kusudi(30%) hawawataki wanataka kusafisha kila kilicholetwa na Zahera kitu ambacho si sahihi km mtu humtaki mpe stahiki zake aende sio kuachana kihuni tutakuja sumbuana mara tff mara fifa na kuna wachezaji kawaleta Zahera lakini wazuri tu mfano Lamine na Farouk sasa kwanini tuwaache? Nina mashaka na Msolwa yule mzee mnyama sio Jangwani!
 
Nimekuja aisee!! Naamini ipo siku huyu bundi atapita tu.
Hili ndio la msingi dada yaani nakereka sana na hii hali kila siku labda kesho huu uongozi hauna experience kabisa bora uongozi uliopita haukuwa na kubwa kuliko,Gsm wala taifa gas wakaunga unga hivyo hivyo!
 
Kwao kuna Vita hivyo ameamua abanane hapa hapa Kariakoo Tanzania ili Kujiokoa na kuwa na Usalama wa Maisha yako Kiujumla.
Haaaaaahaaaaa nyani haoni kundule kwani we mtanzania? unayemcheka huyo ndugu yako nchi moja!
 
Mtani huyu bundi ameshataga mayai tayari mpaka atotoee na makinda waanze kuruka ni mwaka mzima na usee! Poleni sana
Hatutaki pole yenu Mtani. 😜 Ila nina imani ipo siku tutakaa sawa tu.
 
Huyu Syney na Lamine Moro walikuwa wanazunguka tu mtaani hata mia ya kula hawana, leo wamepata zari ya kuchezea timu kubwa wanaleta kiburi, watimuliwe haraka
Eeeh kwaiyo Yanga wachezaji yapaswa wachezee bure?
Kwel nyie gongowazi
 
Hahahaaaa yamekuwa hayo tena kumbe jamaa anakojoa huku kachuchumaa??[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]

Kumbuka kwa Kauli yako hii unamdhalilisha hata Mama yako Mzazi na siyo tu GENTAMYCINE pekee. au Mwenzetu hujazaliwa na Binadamu Mwanamke na labda umezaliwa na Kopo tu? Hivi kuna Mama wa ' Member ' yoyote wa JamiiForums ambaye hakojoi akiwa amechuchumaa? Kwa hiyo kwa Kauli yako hii unadhani umenilenga tu Mimi pekee na hujawalenga Wazazi wa wengine hapa na hata Wanawake wote duniani? Halafu nikiwa nasema kuna Watu wengi hapa ni ' Wapumbavu ' mnanuna na Kunikasirikia wakati kumbe Kiuhalisia na Kiukweli huwa nakuwa sahihi kwa 100% zote tu.
 
ge

Mjukuu wangu genta upo?
 
Back
Top Bottom