Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Nane Nane au Sikukuu ya Wakulima huadhimishwa Nchini Tanzania Agosti 8 kila Mwaka ikilenga kutambua Mchango wa Wakulima na Sekta ya Kilimo kwa Taifa.
Sherehe za Nane Nane huratibiwa na Wizara ya Kilimo, Taasisi mbalimbali za Umma na Binafsi pamoja na Mtu mmoja mmoja kutoka katika shughuli za Kilimo.
Kauli mbinu ya Mwaka huu 2025 ni "Chagua Viongozi bora kwa maendeleo ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi 2025”