Kwa hiyo wewe umekubali ila unataka uwe wa pili?Anza Kumnunulia Dera Kwanza aliyepandikiza Mbegu ya Wewe kuja Duniani hivyo na ukimaliza nae ndipo uje Kwangu sasa sawa? Idiot!!!
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Kaa kimya na ufunge bakuli lako
Uume tena?Sasa kunywa sumu kwa hasira ..tuone kweli una hasira Kali, au jichome bisu la kifua au kata uume wako kwa hasira
Uko sahihi mkuu, nadhani All - Rounder ameona kilichotokea Jana, Simba akiongoza kwa takwimu zote dhidi ya mpinzani wake.Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.
Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Naona kahamisha lawama kwa Chama kuwa hajacheza vizuri.Uko sahihi mkuu, nadhani All - Rounder ameona kilichotokea Jana, Simba akiongoza kwa takwimu zote dhidi ya mpinzani wake.
Hakuna cha kichwa wala nini umechemka vibaya sana. Nyinyi walozi ndio mlikuwa mnatukwamisha kufika mbali, mlikuwa mnawadanganya akina Masatu kwamba mechi imeisha mmeshaloga, mwisho wanapigwa kwa uzembe. Peleka ulozi wako daraja la nne huko .Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
Wewe ni Uto El Kidimbwi, Habari yako umeipata, ile ndio Simba brother.Naendelea Kusisitiza Simba SC ikishinda Kesho itakuwa ni Furaha hata Kwangu ila Matokeo ambayo nayaona hadi sasa ni ama Sare Tasa ( bila ya Kufungana ) au Sare ya Magoli au tutafingwa ( tutakufa ) kwa Goli Mbili ( Magoli Mawili ) safi kabisa
Wewe ni utopoloKichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
Unatumia lugha kali sana mkuuMimi naona nabishana na Shoga / Bwabwa / Chakula / Mtoto si Ridhiki.
Unaowatetea wanatumia Lugha ya Kiupole Kwangu? au ndiyo Mkuki kwa Nguruwe na kwa Binadamu ni Mchungu? Acha Unafiki tafadhali.Unatumia lugha kali sana mkuu
Kabla ya Game kama siku tano kabla walikuja watu kama 70 kutoka Egypt kuandaa hoteli na wakaandaa sehemu yao ya kupikia na wakaambatana na mbwa ili wabaini kama kuna uzandiki unaweza kufanyika lakini mwisho wa siku wakala bao moja na saivi Misri hapakaliki. Simba ilikuwa bora jana tuache ubishi.Al ahly ina ukubwa gani kuizidi sevilla?
Mpira waliopigiwa sevilla siku ile bila mapenzi ya kocha kila mtu acheze tulikuwa tunawatoa nishai pale taifa
Kabla ya Game kama siku tano kabla walikuja watu kama 70 kutoka Egypt kuandaa hoteli na wakaandaa sehemu yao ya kupikia na wakaambatana na mbwa ili wabaini kama kuna uzandiki unaweza kufanyika lakini mwisho wa siku wakala bao moja na saivi Misri hapakaliki. Simba ilikuwa bora jana tuache ubishi.
Wewe ni utopolo
Wewe ni kilaza.
Wewe ni tapeli.
Hakuna "kichwa changu cha habari..."
Kuna "kichwa cha habari yangu..."
Subiri uone kitakachotokea Leo .Msilete visababu sababu mkifungwa Mara tatizo kocha Mara tatizo fulani Mara manula hatufahi. Mechi ya Leo ni kipimo tosha Cha ubora wa wachezaji wa Simba . Watu wamemkaba Muller ,Lewandoski washindwe Kagere ,Luis ,Mugalu,Chama hivi inaingia akilini kweli.Ngoja tusubiri muda utasema
Hii Simba yetu inaishi kwa michezo kama hii, we thrive on the biggest stage of continental football against the continents best.
This is what Simba is all about
Unakumbuka nini kilimtokea Zamalek 2002/03 ?
Ongezea na Mehal el kubra alipigwa, nadhani ndie wa kwanza kuonja shubiri ya kufungwa timu za Misri.Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.
Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Who is a Moron now?I can't dare to waste my time arguing with a Moron like you.
The one who pushed you tirelessly from the Maternity Ward.Who is a Moron now?
Zanzibakwetu hata umwitie sh milioni hawezi kuonekana tena kwenye uzi huu!!Mkuu u khali gani huko?
Utopolo mkubwa wewe!! Ulijifanya Simba kama maficho wakati una harufu ya uto ndani nje!Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.