Noti bandia
JF-Expert Member
- May 3, 2020
- 2,684
- 4,315
Jitahidi kupanua fikra zako km wewe ni mtu mzma. Maisha hayapo hvyo unavyofikiria. Yaan tajiri anaweza lolote hapa duniani kisa anapesa tuNasikia kwa mwaka simba budget yake n billion tatu na al haly budget yake n zaid ya billion mia