Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Uko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Simba imeshinda kiongozi gani aliekufa kwajili ya kafara ya ushindi?
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Vipi kuna kiongozi mkubwa kafa???
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Acha Utopolo
Mpira na uchawi ni vitu viwili tofautiii
Achilia mbali kichwa cha HabariKichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.UCHAWI ULIANZIA MISRI
mbna tumewapiga????
Unajikataa eeehhhhhKichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Achilia mbali kichwa cha Habari
Ukweli nikua, hoja yako 100% nikua simba atafungwaaaaa
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Unajikataa eeehhhhh
Namalizia Kumkaza Dadako.Uko wapi
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Simba imeshinda kiongozi gani aliekufa kwajili ya kafara ya ushindi?
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.Oy niaje mtabiri 😁😄😄
Middle fee.ng.erSijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema.
Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa ni katika Ufundi.
Nina uhakika wa Matokeo ya Suluhu (Sare bila ya Magoli) au Sare Pacha (ya Magoli) au Simba SC Kufungwa na Al Ahly goli Kuanzia 2 (Mbili)
Wale mtakaochukia na huu Uzi mnisamehe, tuvumiliane na muupokee tu kwani ndiyo Utabiri wangu kama ambavyo nimekuwa nikiutoa kwa Matokeo mengine mbalimbali yaihusuyo Simba SC yangu (yetu)
Kumfunga Al Ahly Kesho Kiutamaduni (Kiuchawi) Simba SC inatakiwa ifanye Kafara kubwa la Kiongozi wake Mmoja wa Juu Afe ghafla (tena kwa Ajali) na Damu yake itumike. Pia Kucheza huo Mchezo Saa 10 Jioni tumekosea mno kwani Jini la Ushindi la Simba SC huwa linaanza Kufanya Kazi kuanzia Saa 1 Usiku hadi Saa 6 Usiku tu.
Na Safari hii Al Ahly nao wamejidhatiti sana Kindumba (Kiuchawi) japo Wao wanatumia zaidi Kitabu na kuna Jambo wamelifanya Leo na Kesho Saa 5 Asubuhi watalifanya tena. Wamejiandaa mno kwa Fitna za nje ya Uwanja.
Kichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui sahiz una hali gani famba wewe.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Same to the one who gave birth to you.Middle fee.ng.er
Utakufa na depression mzee piga nyeto ukalaleKichwa changu cha Habari kinasemaje / kimesemaje? Pumbavu.