HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Sisi ushindi tuSimba kesho itatumia paka shume ambaye ni zaidi ya paka wa kawaida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi ushindi tuSimba kesho itatumia paka shume ambaye ni zaidi ya paka wa kawaida.
Simba bajeti ni 6bilNasikia kwa mwaka simba budget yake n billion tatu na al haly budget yake n zaid ya billion mia tatu.
Sasa utachezaje WCup bila timu ya TaifaJamaa ananiambia al haly inawachezaji karibia tisa walienda kucheza world cup ya mwaka 2018...kule Russia wakati simba haina ata mchezaji mmoja aliecheza world cup hii ina ukweli l????
Uzuri wote twajua fitna za nje na ndani ya uwanjaWalishindwaje kutumia kitabu wamfunge bayern?
Mwaka jana tulivo wachapa pale kwa mkapa ni kafar ya nani simba walitoa?
Hayo vyura hawajui kituAl ahly ina ukubwa gani kuizidi sevilla?
Mpira waliopigiwa sevilla siku ile bila mapenzi ya kocha kila mtu acheze tulikuwa tunawatoa nishai pale taifa
sasa ushawahi niona nikilalamika napotezewa muda?Wewe mwenye Kazi yako ya maana mbona Kutwa tu ( 24/7 ) upo nasi Ukipuyanga tu hapa JF? Pumbavu!!
Mkuu angalia mashabiki lia lia watakupopoa mawe.Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema.
Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa ni katika Ufundi.
Nina uhakika wa Matokeo ya Suluhu (Sare bila ya Magoli) au Sare Pacha (ya Magoli) au Simba SC Kufungwa na Al Ahly goli Kuanzia 2 (Mbili)
Wale mtakaochukia na huu Uzi mnisamehe, tuvumiliane na muupokee tu kwani ndiyo Utabiri wangu kama ambavyo nimekuwa nikiutoa kwa Matokeo mengine mbalimbali yaihusuyo Simba SC yangu (yetu)
Kumfunga Al Ahly Kesho Kiutamaduni (Kiuchawi) Simba SC inatakiwa ifanye Kafara kubwa la Kiongozi wake Mmoja wa Juu Afe ghafla (tena kwa Ajali) na Damu yake itumike. Pia Kucheza huo Mchezo Saa 10 Jioni tumekosea mno kwani Jini la Ushindi la Simba SC huwa linaanza Kufanya Kazi kuanzia Saa 1 Usiku hadi Saa 6 Usiku tu.
Na Safari hii Al Ahly nao wamejidhatiti sana Kindumba (Kiuchawi) japo Wao wanatumia zaidi Kitabu na kuna Jambo wamelifanya Leo na Kesho Saa 5 Asubuhi watalifanya tena. Wamejiandaa mno kwa Fitna za nje ya Uwanja.
Subiri uone kitakachotokea Leo .Msilete visababu sababu mkifungwa Mara tatizo kocha Mara tatizo fulani Mara manula hatufahi. Mechi ya Leo ni kipimo tosha Cha ubora wa wachezaji wa Simba . Watu wamemkaba Muller ,Lewandoski washindwe Kagere ,Luis ,Mugalu,Chama hivi inaingia akilini kweli.Ngoja tusubiri muda utasemaHii Simba yetu inaishi kwa michezo kama hii, we thrive on the biggest stage of continental football against the continents best.
This is what Simba is all about
Unakumbuka nini kilimtokea Zamalek 2002/03 ?
Sawa tusubiri tuone.Kumbuka Timu ya Taifa ya Brazili iliandaa kombe la dunia na kupigwa goli 7 bila nyumbani kwao mbele ya Viongozi wao wakuu wa serikali na wananchi wao.Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.
Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
zamalek 2003 akiwa na kina Hossam hassan week moja kabla wakiwa tournament klabu bingwa ya dunia walicheza na real madrid ya kina beckham,zidane,figo wakafungwa moja na dar es salaam wakapigwa moja na simba sasa hiyo bayern inakutetemesha sana siyo?HALFU KIPIMO CHA VITA UGENINI HAKIHESABIKI TENA SIYO?Subiri uone kitakachotokea Leo .Msilete visababu sababu mkifungwa Mara tatizo kocha Mara tatizo fulani Mara manula hatufahi. Mechi ya Leo ni kipimo tosha Cha ubora wa wachezaji wa Simba . Watu wamemkaba Muller ,Lewandoski washindwe Kagere ,Luis ,Mugalu,Chama hivi inaingia akilini kweli.Ngoja tusubiri muda utasema
Kwa hiyo Simba imesajili wachezaji wazuri na wenye ubora kuliko Al Ahly? Wakati mwingine mapenzi muyaweke pembeni mseme ukweli.Muda utasema mjiandae kuleta visababu sababu visivyokuwa na msingi Mara tatizo fulani au fulani hamtaeleweka kwa tambo zenu hiziMimi sikatai wewe kuona hivyo, ila njia uitumiayo ya kuhusisha ushirikina ndio inayonifanya nitilie shaka elimu yako
Kwasababu hapo juu umesema thamani ya wachezaji wanne wa al ahly ni kikosi kizima cha simba.
Meanwhile wachezaji wazuri ndio chachu ya uhakika wa kupata ushindi na sio uwekezaji wa kusajili waganga ndio kisababishi cha ushindi
week 2 zilizopita nilikia as vita angetupiga 7 sasa naona kipimo ni leo,mtahaha sana mwaka huu laazima mchuchumae mmeingia ch a kikeKwa hiyo Simba imesajili wachezaji wazuri na wenye ubora kuliko Al Ahly? Wakati mwingine mapenzi muyaweke pembeni mseme ukweli.Muda utasema mjiandae kuleta visababu sababu visivyokuwa na msingi Mara tatizo fulani au fulani hamtaeleweka kwa tambo zenu hizi
Siyo pyramib ni el- masriHakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.
Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Asante kwa kunikumbusha mkuuSiyo pyramib ni el- masri
Pamoja, na ile game kama siyo mvua tungempigaAsante kwa kunikumbusha mkuu
Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.
Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
Watulie wasubuiri kushangilia matokeo wapuuzi hawa.Yani hako Katoto unakokafahamisha hakajui hata kanaongea nini! Ni kina Kigwangala hao wanataka 20B
Ni kweli ile mechi tulikuwa tumeshawakamata vizuriPamoja, na ile game kama siyo mvua tungempiga