Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

Tukishinda tutamshukuru Mwenyezi Mungu, ila 98% ni Sare ya aina yoyote au tunafungwa Kuanzia Goli 2

Walishindwaje kutumia kitabu wamfunge bayern?

Mwaka jana tulivo wachapa pale kwa mkapa ni kafar ya nani simba walitoa?
I can't dare to waste my time arguing with a Moron like you.
 
Naendelea Kusisitiza Simba SC ikishinda Kesho itakuwa ni Furaha hata Kwangu ila Matokeo ambayo nayaona hadi sasa ni ama Sare Tasa ( bila ya Kufungana ) au Sare ya Magoli au tutafingwa ( tutakufa ) kwa Goli Mbili ( Magoli Mawili ) safi kabisa
Mimi sikatai wewe kuona hivyo, ila njia uitumiayo ya kuhusisha ushirikina ndio inayonifanya nitilie shaka elimu yako

Kwasababu hapo juu umesema thamani ya wachezaji wanne wa al ahly ni kikosi kizima cha simba.

Meanwhile wachezaji wazuri ndio chachu ya uhakika wa kupata ushindi na sio uwekezaji wa kusajili waganga ndio kisababishi cha ushindi
 
Al ahly ina ukubwa gani kuizidi sevilla?

Mpira waliopigiwa sevilla siku ile bila mapenzi ya kocha kila mtu acheze tulikuwa tunawatoa nishai pale taifa
Liangalie Punguani lingine hili. Hivi Sevilla FC walipokuja Kucheza na Simba SC Kipindi kile walikuwa wakitafuta Mshindi wa Mechi ya Kirafiki au Simba SC ilikuwa katika Mchakato tu wa Kukijenga ( Kukiimarisha )-
Mimi sikatai wewe kuona hivyo, ila njia uitumiayo ya kuhusisha ushirikina ndio inayonifanya nitilie shaka elimu yako

Kwasababu hapo juu umesema thamani ya wachezaji wanne wa al ahly ni kikosi kizima cha simba.

Meanwhile wachezaji wazuri ndio chachu ya uhakika wa kupata ushindi na sio uwekezaji wa kusajili waganga ndio kisababishi cha ushindi
Aliyekudanganya ( Kukuambia ) kuwa Klabu Kubwa kama za Botafogo ( Brazil ) na Corithians ( Argentina ) hawarogi nani? Hebu nitokee hapa kwani huna Unachokijua kuhusiana na Soka la Bongo na Fitna zake.
 
Liangalie Punguani lingine hili. Hivi Sevilla FC walipokuja Kucheza na Simba SC Kipindi kile walikuwa wakitafuta Mshindi wa Mechi ya Kirafiki au Simba SC ilikuwa katika Mchakato tu wa Kukijenga ( Kukiimarisha )-
Kwanza punguani baba yako

Halafu

Mechi iwe ya kirafiki au ya kishosti sheria ni zile zile na lengo nilile lile kupata ushindi kilichobadilika hapo ni jina tu.

Aliyekudanganya ( Kukuambia ) kuwa Klabu Kubwa kama za Botafogo ( Brazil ) na Corithians ( Argentina ) hawarogi nani? Hebu nitokee hapa kwani huna Unachokijua kuhusiana na Soka la Bongo na Fitna zake.
Akili za kipimbi hizi ndio zilizomuingiza hasara manji kipindi kile waje brasil.

Uchawi ungekuwa real basi nigeria yenye sifa ya kuwa na wachawi ingekua imechukua makombe yote.

Watu wangeacha kudajili wachezaji badala yake wangesajili waganga
 
Usijidai unajali sana ku value muda. Wote tuko humu kupoteza muda, unakazi gani humu ya maana ambayo unanufaika nayo?

Ungekua na kazi zako zakukufanya humu tusingekuona maana ungekua busy kufanya mambo yako usingepata access ya kuandika post ya kipumbavu kama hii
Wewe mwenye Kazi yako ya maana mbona Kutwa tu ( 24/7 ) upo nasi Ukipuyanga tu hapa JF? Pumbavu!!
 
Kwanza punguani baba yako

Halafu

Mechi iwe ya kirafiki au ya kishosti sheria ni zile zile na lengo nilile lile kupata ushindi kilichobadilika hapo ni jina tu.

Akili za kipimbi hizi ndio zilizomuingiza hasara manji kipindi kile waje brasil.

Uchawi ungekuwa real basi nigeria yenye sifa ya kuwa na wachawi ingekua imechukua makombe yote.

Watu wangeacha kudajili wachezaji badala yake wangesajili waganga
Pathetic.
 
Jamaa ananiambia al haly inawachezaji karibia tisa walienda kucheza world cup ya mwaka 2018...kule Russia wakati simba haina ata mchezaji mmoja aliecheza world cup hii ina ukweli l????
Yes
1 Mohamed El Shenawy
2. Ramadan Sobhi
3. Mahmoud Hamdi
4.Ayman Ashraf
5.Ahmed Fathy
6. Saad Samir
7 Marwan Mohsen
8. Ally Maaloul( Tunisia)
9. Walid Soliman
 
Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
Yanga mbona mna nongwa sana.
Halitakuwa jambo la ajabu simba kumfunga Al Ahly kwa sababu tayari alishafanya hivyo before.
Halitakuwa jambo la ajabu simba kumfunga bingwa kwa sababu tayari alishafanya hivyo dhidi ya Zamalek.
 
Hakuna timu ya Egypt ambayo imewahi kuishinda Simba uwanja wa Uhuru au kwa Mkapa mwenye record nzuri pekee ni Pyramids waliotoka sare ya 2-2 2018.

Ismaily alipigwa.
Zamalek alipigwa.
Al Ahly alipigwa
Petrojet alipigwa.
Harass El Hoodoud alipigwa.
arab contractors pia walipigwa 3-1
 
Yanga mbona mna nongwa sana.
Halitakuwa jambo la ajabu simba kumfunga Al Ahly kwa sababu tayari alishafanya hivyo before.
Halitakuwa jambo la ajabu simba kumfunga bingwa kwa sababu tayari alishafanya hivyo dhidi ya Zamalek.
Yaani kusema Ukweli msioutaka leo ndiyo nimekuwa Mtu ( Mshabiki ) wa Yanga SC? Mbona nikiwa natoa Tabiri zangu za kuhusu Simba SC kushinda Mechi zake huwa hamniambii Mimi ni Mtu ( Shabiki ) wa Yanga SC? Wanafiki wakubwa nyie.

Nasema tena leo Simba SC ikishinda ni Jambo jema na tutafurahi sote na hata Kumshukuru Mwenyezi Mungu ila kwa Utabiri wangu naona Matokeo ya Sare ya Suluhu ( bila Magoli ) au Sare ya Pacha ( ya Magoli ) au Simba SC Kufungwa Magoli Kuanzia Mawili ( 2 ) na Al Ahly.

Haya ninunieni vizuri sasa enyi Wapuuzi.
 
arab contractors pia walipigwa 3-1
Kama Msemaji Haji Manara jana Kakiri kuwa Al Ahly na Simba SC ni sawa na Mbingu na Ardhi Kiuwezo, Kimpira, Kimbinu na Kimkakati Wewe ni nani leo hii Ujiaminishe Kipumbavu hivi kuwa Simba SC ina uwezo sawa na Al Ahly? Kuna Watu huenda mkawa mnaugua Uwendawazimu ( Ukichaa ) ila hamjijui tu.
 
Hii Simba yetu inaishi kwa michezo kama hii, we thrive on the biggest stage of continental football against the continents best.

This is what Simba is all about

Unakumbuka nini kilimtokea Zamalek 2002/03 ?
Kitoto cha form 4 hicho mkuu unakosea kumuuliza hilo swali
 
Kama Msemaji Haji Manara jana Kakiri kuwa Al Ahly na Simba SC ni sawa na Mbingu na Ardhi Kiuwezo, Kimpira, Kimbinu na Kimkakati Wewe ni nani leo hii Ujiaminishe Kipumbavu hivi kuwa Simba SC ina uwezo sawa na Al Ahly? Kuna Watu huenda mkawa mnaugua Uwendawazimu ( Ukichaa ) ila hamjijui tu.
umepigwa kimoja cha asubuhi na mmeo unaamka na visirani kwani wanavyoitwa mbingu sisi ardhi si kutokana na historia yao?kukumbusha kwamba kina mwameja walishawachapa arb contactors goal 3-1 hapa bongo ni dhambi? kwendaaaaa kamuue basi huyo kiongozi utoe hiyo kafara kima weeee
 
Ni Mpumbavu Mkomavu tu pekee ndiyo atajiaminisha na Kujidanganya huku akijipa Matumaini mbele ya Klabu Kubwa, Bingwa na Bora Afrika Al Ahly ambayo Thamani tu ya Wachezaji wake Wanne ni Thamani ya Klabu nzima ya Simba SC ambayo hadi leo hii Mohammed Dewji ' Mo ' hajaiweka katika Mfumo wa Uwekezaji kama alivyotakiwa katika Mchakato mzima.
ukiwa na mtizamo wa kuto kujiamini hata kwenye maendeleo yako binafsi utabaki masikiani mpaka mwisho wa dunia.
kwenye dunia hii ili ufanikiwe chochote kile unacho kitaka basi lazima kwanza ujiamini na uweke jitihada na malengo.
ukiwa muoga kama unavyo onekena hata maisha umesha feli.

hata club ya VITA ni timu bora kuliko simba lkn bado simba wamewapiga nyumbani kwao.
hata alahali ni timu bora afrika lln bado simba wakijiamini watashinda vizuri tu..............huu ndio muda wa simba kupanda ngazi na kushusha baadhi ya timu zizo juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kusema Ukweli msioutaka leo ndiyo nimekuwa Mtu ( Mshabiki ) wa Yanga SC? Mbona nikiwa natoa Tabiri zangu za kuhusu Simba SC kushinda Mechi zake huwa hamniambii Mimi ni Mtu ( Shabiki ) wa Yanga SC? Wanafiki wakubwa nyie.

Nasema tena leo Simba SC ikishinda ni Jambo jema na tutafurahi sote na hata Kumshukuru Mwenyezi Mungu ila kwa Utabiri wangu naona Matokeo ya Sare ya Suluhu ( bila Magoli ) au Sare ya Pacha ( ya Magoli ) au Simba SC Kufungwa Magoli Kuanzia Mawili ( 2 ) na Al Ahly.

Haya ninunieni vizuri sasa enyi Wapuuzi.
Peleka hii mada yako"kidimbwi beach"itaeleweka mapema sana.
Ila kwa wanasoka mashabiki wa Simba waelewa wa mambo awawezi kukubalia ndugu.
Kaa tu upumzike,baadae uugulie maumivu ya Al Ahly atakavyopigwa 2-0.
 
Sijakulazimisha na Sikulazimishi ukubaliane na nilichokiandika hapa ila sijawahi kuja na Utabiri wangu na usiwe sahihi kama nilivyousema.

Tukishinda hata Mimi nitafurahi mno na Kumshukuru sana Mwenyezi Mungu ila tusidanganyane Al Ahly ni zaidi ya Simba SC ndani na nje ya Uwanja huku zaidi ikiwa ni katika Ufundi.

Nina uhakika wa Matokeo ya Suluhu (Sare bila ya Magoli) au Sare Pacha (ya Magoli) au Simba SC Kufungwa na Al Ahly goli Kuanzia 2 (Mbili)

Wale mtakaochukia na huu Uzi mnisamehe, tuvumiliane na muupokee tu kwani ndiyo Utabiri wangu kama ambavyo nimekuwa nikiutoa kwa Matokeo mengine mbalimbali yaihusuyo Simba SC yangu (yetu)

Kumfunga Al Ahly Kesho Kiutamaduni (Kiuchawi) Simba SC inatakiwa ifanye Kafara kubwa la Kiongozi wake Mmoja wa Juu Afe ghafla (tena kwa Ajali) na Damu yake itumike. Pia Kucheza huo Mchezo Saa 10 Jioni tumekosea mno kwani Jini la Ushindi la Simba SC huwa linaanza Kufanya Kazi kuanzia Saa 1 Usiku hadi Saa 6 Usiku tu.

Na Safari hii Al Ahly nao wamejidhatiti sana Kindumba (Kiuchawi) japo Wao wanatumia zaidi Kitabu na kuna Jambo wamelifanya Leo na Kesho Saa 5 Asubuhi watalifanya tena. Wamejiandaa mno kwa Fitna za nje ya Uwanja.
Hamuwezi kurogwa na Alahaly kikubwa mtakalia Tu.
 
Back
Top Bottom