Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,575
- 25,619
mara Simba haiwawezi Ptateau, Simba ikashinda...Kwa hiyo Simba imesajili wachezaji wazuri na wenye ubora kuliko Al Ahly? Wakati mwingine mapenzi muyaweke pembeni mseme ukweli.Muda utasema mjiandae kuleta visababu sababu visivyokuwa na msingi Mara tatizo fulani au fulani hamtaeleweka kwa tambo zenu hizi
mara mtapigwa na Ptatinum, Simba ikashinda..
mara kwa As vita hii mjiandae kupigwa zile 5, Simba ikashinda...
baada ya kuona vile vipimo vyenu vya kuipimia Simba hapo juu kushindwa leo hii mko tena kwa Al ahyl...!!
sishangai hata Simba akimfunga al ahyl sababu hazitaisha kwa team nyingine zitakazofuatia.
ACHA ROHO MBAYA KIJANA, UKIZEEKA UTAKUWA MCHAWI