Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,628
- 6,411
Big No.pia mwanaume ni mtawala na mwanamke ni mtawaliwa.
Mkuu jamaa kaeleza vizuri kabisa,.. cha kuongezea ni kwamba kuna tofauti kati ya binadamu na mtu,,. kwa upande wa mtu (Nafsi) sote tupo sawa lakini kwa binadamu tunatofautiana ki mtazamo na maumbile pia,.. kwani Mme anafanya mambo kwa mantiki(logic), Mke anaongozwa na Hisia(intution).Je hiyo ndiyo tofauti ya kututambulisha bila shaka kuwa fulani ni mwanaume na mwingine ni Mwanamke?..Mkuu tafakari vizuri hujanielewa huenda umewahi kutoa jibu lako.
Haujawahi kusikia watu wakisema fulani ni jike dume au dumejike unafikiri ni kwa sababu uliyoitoa tu?...
Nature of creation is so gendered ...tuendelee
Nani kasema si binadamu sawaNajaribu kuwaza juu ya tofauti zaidi ya maumbile "body parts" kati ya Mwanamke na Mwanaume siioni.
Na kikubwa zaidi ni kwamba tofauti hizi za kimaumbile ni chache sana kuliko maumbile yanayoonesha kuwa Mwanamke na Mwanamume wote ni binadamu na ni kitu kimoja.
Tuendelee.
Unaweza ukathibitisha kama tofauti za kimaumbile (feminine and masculine) zinavyoonesha?..Mkuu jamaa kaeleza vizuri kabisa,.. cha kuongezea ni kwamba kuna tofauti kati ya binadamu na mtu,,. kwa upande wa mtu (Nafsi) sote tupo sawa lakini kwa binadamu tunatofautiana ki mtazamo na maumbile pia,.. kwani Mme anafanya mambo kwa mantiki(logic), Mke anaongozwa na Hisia(intution).
Umesema kweli Mkuu. Ndivyo ilivyo.Najaribu kuwaza juu ya tofauti zaidi ya maumbile "body parts" kati ya Mwanamke na Mwanaume siioni.
Na kikubwa zaidi ni kwamba tofauti hizi za kimaumbile ni chache sana kuliko maumbile yanayoonesha kuwa Mwanamke na Mwanamume wote ni binadamu na ni kitu kimoja.
Tuendelee.
Wewe unaonekana ni mende, kunamtu unampigia hesabu mtaani kwako kiasi amekuchanganya.Najaribu kuwaza juu ya tofauti zaidi ya maumbile "body parts" kati ya Mwanamke na Mwanaume siioni.
Na kikubwa zaidi ni kwamba tofauti hizi za kimaumbile ni chache sana kuliko maumbile yanayoonesha kuwa Mwanamke na Mwanamume wote ni binadamu na ni kitu kimoja.
Tuendelee.
Hiyo no mental picture yako ila nipo nilivyo na sivyo unavyodhani. Kuwa mpole jenga hoja Jamii forum siyo kipewe cha kahawa Mkuu.Wewe unaonekana ni mende, kunamtu unampigia hesabu mtaani kwako kiasi amekuchanganya.
Ushindwe na ulegee.