Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Habari Wana JF,Nimekaa na kutafakari sana juu ya uhai na hatima yetu kama Binadamu,uwe muumini wa Dini au huna Imani!
Mimi ni muumini wa uwepo wa Mungu na nitanukuu maandiko kama ninavyoamini.
Nimevipiga vita vilivyo vizuri,mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda,8baada ya Hayonimwekewa taji ya Haki.Atanipa siku Ile;Wala si Mimi tuu,Bali na watu wote pia waliopenda kufunuliwa kwake.
Hayo ni maneno ya mtume Paulo alipokuwa anakaribia kufakufa,alisimamia Haki na Matendo mema,bila kujali wasiopenda Haki watamchuliaje!Hapo alikuwa maneno yake na Matendo yake yangali yanaishi hadi Leo!Sasa sisi tulio hai,ukitokea tumekufa tutaacha Alama Gani?!Mungu mwema tutende mema na tuishi kwa Haki bila Uchawa,Maana kila Mtu atakuja kuyaona madhara na ubaya au uzuri wa Matendo yake.
Ahsanteni.