- Thread starter
- #21
Napinga hili,Magufuli ndio kamleta Samia Suluhu
Ni kikwete na CCM
Magu na vilaza wap na wap
Napinga hili,Magufuli ndio kamleta Samia Suluhu
Every coin has got two sidesUnafanya kumbukizi ya mashujaa waliouawa huku ukiuenzi na mzizi wa hayo mauaji!
Anyway, jiwe alikuwa jembe sana kwenye kazi, ila ukatili wake ulifuta kila chema. Kuna wehu wanamtaja jiwe kuwa alikuwa mtu mwema, mara mwenye hofu ya Mungu, upumbav tu hata jiwe mwenye naamini alikuwa akiwashangaa waliomtaja hivyo enzi za uhai wake
Magu alicompete na Lisu Kwa debe,Huu uzi unanuka damu
Imekuja kufahamika kuwa,JPM ndie rais bora kuliko wengine wote ukiwaweka kwa pamoja
Magufuri ndo mwalimu wa Samia maana Kila kinacho endelea sasa hivi muasisi wake ni jiwe.Hakuna sa100 siyo zao la jiwe bali alimchagua tu ili kukidhi mahitaji ya katiba kuwa kama rais ni wa bara basi makamu awe mzanzibari.Magufuli mwenyewe alikuja kukiri kuwa chaguo lake lilikuwa ni mwinyi na huyu alimchagua basi tu.
Oct 2020 hakuna aliyeuwawaMagufuri ndo mwalimu wa Samia maana Kila kinacho endelea sasa hivi muasisi wake ni jiwe.
Kuanzia siasa za chuki,kutekana,uchawa,kubambika watu kesi,kununua wapinzani,na kutaka kuuwa upinzani
Mfumo wa kudhibiti mbovuHakuna rais Bora kwa Tanzania Kila raisi ana makando yake
Ushujaa wa Magufuli ni upi?Happy birthday Shujaa, na Mzalendo Magufuli
Tunamshukuru Mungu Kwa kutuletea Tanzania,kazi uliyoifanya Kwa muda mfupi ni ya kutukuka.
Baadhi yetu, siku kama ya Leo mwaka jana 2025, tulibeba mabango, na wengine wakabeba bango lenye picha yako kama ishara ya kukumbuka uzalendo na kuchukia rushwa, sijui waliishia wapi, maana hawakurudi nyumbani Hadi Sasa.
Tunamshukuru Mungu Kwa zawadi ya mtoto Magu.
We live,once and we die once.
Mimi nakataa kufa,Wala kuuwawa na mwovu yoyote. Sifi, sitakufa nitaishi Hadi niione Tanzania mpya uliyoitamani Mzalendo Magufuli.
Ahsanteni
Magufuli hakua muuaji kama sa100.sa100 kaua hamphrey polepole,mdude,chimbi,mzee kibao,mzeemwamwindi wa iringa n.kMagufuri ndo mwalimu wa Samia maana Kila kinacho endelea sasa hivi muasisi wake ni jiwe.
Kuanzia siasa za chuki,kutekana,uchawa,kubambika watu kesi,kununua wapinzani,na kutaka kuuwa upinzani
Mtu akifa huwa wema unakumbukwa zaidi, ila hili halimaanishi alikuwa malaika.JPM ndie rais bora kuliko wengine wote ukiwaweka kwa pamoja
Haijalishi muuaji ni muuaji tu bila kujali ameuwa watu wangapi.Magufuli hakua muuaji kama sa100.sa100 kaua hamphrey polepole,mdude,chimbi,mzee kibao,mzeemwamwindi wa iringa n.k
Kutomwogopa Lisu,Ushujaa wa Magufuli ni upi?
October 29 2020Happy birthday kwake!Hata hivyo atakumbukwa kuwa ndiye chanzo cha Yeye Taifa kupitia kipindi kigumu cha Okt.29,2025!
Ni katika utawala wake ambapo bunge la kipindi chake lilitunga Tume feki ya Uchaguzi iliyosababisha kilichokea Okt.29,2025!
Licha ya mazuri aliyofanya,wakati Taifa linaomboleza kwa vifo vya mamia ya Watanzania,atakumbukwa yaliyotokea Okt. 29!
Happy birthday kwake.
Mambo yote yaliyo sababisha vurugu October 29 yeye ndo muasisi wake.Oct 2020 hakuna aliyeuwawa
Na Lisu alishiriki uchaguzi, Hadi chato alienda kucompain
Ila ssh alimwogopa Hadi wa Act wazalendo uchwara
Hata tundu lisu akiwa rais lazima kuna watu watalalamika.Hakuna rais Bora kwa Tanzania Kila raisi ana makando yake
Ni kweli,Hata tundu lisu akiwa rais lazima kuna watu watalalamika.