Tukiwa tunaelekea Mei Mosi, TUCTA waomba Rais Samia asikilize kilio chao

TUCTA mlipokunya pameota mti.Hatuwahitaji mtuache.
 
Samia naomba achana na TUCTA ni wajinga hao. Mwenyekiti anayejiita Rais wa TUCTA aliliacha shirikisho akaenda kugombea ubunge kupitia CCM akifikiri JIWE atamsaidia apite na Katibu wake akaenda Iringa kumpigia kampeni mgombea ubunge wa CCM. Achana nao hawa wachumia tumbo.
 
Kosa la viongozi lisiathiri wafanyakazi
 
Tucta wamesahau kero za kudai mafao

FAO LA KUJITOA LIREJESHWE

Watu walipwe mafao kwa wakati

Hata fao la kukosa ajira halieleweki...watu wanadai na hawalipwi

NSSF kumeoza, NSSF ikaguliwe na CAG
Bila kusahau kikokotoo
 
Kosa la viongozi lisiathiri wafanyakazi
Hao wafanyakazi awakumbuke tu Rais Samia mwenyewe na siyo kukumbushwa na hao wachumia tumbo. Miaka yote mitano wao wanawaza kugombea tu ubunge kupitia CCM halafu leo wajifanye wanauchungu na wafanyakazi! Toka lini mwanaCCM akawa na uvhungu na wafanyakazi?
 
Toka lini mwanaCCM wa aina ya Tumaini Nyamhokya (Rais wa TUCTA) na Yahya Msigwa (katibu wa TUCTA) akawa na huruma na wafanyakazi?
 
Walijitahidi Sana lakini jibu miaka yote lilikuwa wasubiri kwanza lhela inatumika kufanya mambo ya maendeleo
 
2013 walishapanda shida ipo kwa 2014 hawajapanda tu hadi inauma ukifikiria
du miaka 8
 
Ila nchi hii ina wajinga wengi sana.
Imagine mtu amelimwa 2% ya kiduchu chake na chama hiki cha kisiasa!
 
Ee ni ajabu sana, hawa ndo walikuwa wanamsifia jiwe, leo tena wanamadai, ka ma vile kinyonga.
 
Tatizo ni kwamba haya mavyama yapo kisheria
No.
Kujiunga ni willing, na kujitoa ni willing pia.
Labda kama ma HR wenu hawajitambui ndio huwalazimisha.
Mimi nina miaka karibu 6 kwenye utumishi wa umma ila si member wa hivi vyama.
 
Hawa wapumbavu wa TUCTA wamekumbuka shuka baada ya Magufuli kufariki dunia. Walikuwa wamepoa kama barafu na busy kusifia sifia ujinga wa mzee Meko.
1. Umeenda mbali sana kuwaita "wapumbavu". Hiyo siyo sawa na si ustaarabu

2. Hata hivyo, unafikiri TUCTA wangefanyeje mbele ya utawala wa mkono wa chuma wa Jiwe? Ulitaka wapotezwe au kujikuta watuptwa kwenye viroba baharini?

3. Mbaya na mmwaga damu za watu (Tyrant) ameondoka. Siyo vibaya kuanza kuzungumza na huyu mama mstaarabu...
 
TUCTA waombe kwa Rais Samia Suluhu, sheria ya mwaka 2018 ifutwe...hii sheria iliondoa FAO la kujitoa

TUCTA waombe FAO LA KUJITOA LIREJESHWE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…