AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,318
- 4,106
Nikuelimishe tu. Hakuna kanisa la Roma. Mnachanganywa. Neno roman lilianza kutumika majuzi tu baada ya king henry kujitenga na kanisa katoliki ambalo makao makuu yalikuwa roma. Sasa alikuwa bado anaamini yeye ni mkatoliki. Sasa kujitofautisha na wakatoliki wale aliojitenga nao ndio akaanza kuwaita wale wa roman catholic, wao kwa kuwa ni waingereza yani anglo. Anglican. Sasa kanisa la Yesu. ni kanisa la ulimwengu yani "katolikos" kwa kigiriki. Hakuna document ata moja wala sala inayosema kanisa la roma. Muwe mnaelewa. Hii shida ata wakatoliki wenyewe wanayo wanajiita waroma. Inapelekea kirahisi sana mtu kuhusisha na mila za warumi mfano za kina constantine. Lakini hakuna kinachofanywa na kanisa kilichotokea kwenye tamaduni za kirumi. Ukibisha soma historia ya wakristo wakwanza namna walivokuwa wanafanya.Tatizo Ya hili. "Kanisa la Roma" ni kwamba walichanganya Tamaduni/imani za kipa gani za Roma pale walichanganya na maandiko Matakatifu so mwishoni wakakuta mambo mengi ya kipagani yaliyoingia yanakinzana na Biblia Takatifu. So ikabidi watafute njia ya kuhalalisha hayo mambo. Ndio wakaja na kitu kinaitwa MAPOKEO aka MASIMULIZI sababu walijua hayo ni ngumu watu kubisha coz ni ngumu kuthibitisha pia. Ndo maana wamesimamia hapo....
Nadhani hujawahi soma catekisimu ambayo ilisainiwa na papa mwenyewe. Uone wanasemaje hao wazungu waliokuketea sio wewe mmatumbiNikuelimishe tu. Hakuna kanisa la Roma. Mnachanganywa. Neno roman lilianza kutumika majuzi tu baada ya king henry kujitenga na kanisa katoliki ambalo makao makuu yalikuwa roma. Sasa alikuwa bado anaamini yeye ni mkatoliki. Sasa kujitofautisha na wakatoliki wale aliojitenga nao ndio akaanza kuwaita wale wa roman catholic, wao kwa kuwa ni waingereza yani anglo. Anglican. Sasa kanisa la Yesu. ni kanisa la ulimwengu yani "katolikos" kwa kigiriki. Hakuna document ata moja wala sala inayosema kanisa la roma. Muwe mnaelewa. Hii shida ata wakatoliki wenyewe wanayo wanajiita waroma. Inapelekea kirahisi sana mtu kuhusisha na mila za warumi mfano za kina constantine. Lakini hakuna kinachofanywa na kanisa kilichotokea kwenye tamaduni za kirumi. Ukibisha soma historia ya wakristo wakwanza namna walivokuwa wanafanya.
Hao wapenda ushoga kweli hamuna dini Muna ma freemason walijivikia ukristo...!Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Kama unadhani hivyo, Papa asingekuwa analazimika kutoka hadharani kuomba radhi kutokana na vitendo vya viovu (ngono na udharirishaji wa kijinsi kutaja kwa uchache)vya makasisi na mapadre wake duniani kote!!!Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Akili mgando hizi, Muislam akisema hivyo ndiyo inahalisha ficha ujinga wako nduguKanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Wewe ndio hujawahi. Huna haya mtu mzima unaropoka vitu huna hakika. Unashuhudia uongo kabisa. Leta evidence. page, yani watanzania bana , unakuta mtu anajifanya anajua jambo na analishupalia utadhani kweli. Kumbe anaishi kwa chuki tu. Catechism ungejua maana yake wewe wala usingeandika huo utopolo maana unatia aibu. Jaribu kujiridhisha au fanya research usikubali kujazwa conspiracy theories. Do some research juu ya kanisa. Ata mimi kabla sijawa mkatoliki nilikuwa na dhana nyingi sana potofu, ila nikaamua kwenda chimbo na sikurudi tena nyuma.Nadhani hujawahi soma catekisimu ambayo ilisainiwa na papa mwenyewe. Uone wanasemaje hao wazungu waliokuketea sio wewe mmatumbi
Wewe jamaa acha uongo..kupiga magoti..kubusu sanamu ndio zenu.Hakuna mahali wakatoliki wanaipigia magoti sanamu ya bikira Maria mkuu. Check vizuri source za hiyo habari sio vyema kukashfu ilhali hata hujui unakashfu nini.
Kama unadhani hivyo, Papa asingekuwa analazimika kutoka hadharani kuomba radhi kutokana na vitendo vya viovu (ngono na udharirishaji wa kijinsi kutaja kwa uchache)vya makasisi na mapadre wake duniani kote!!!
Hivi mbona kulazimiasha visivyowezekana isa na Yesu hawafanani hata kidogo.Yesu sio Mungu bali ni Mtume tu wa Mungu na wala si mtoto Wa mungu.Sisi Waislamu hatumpigi Yesu (Nabii Issa Bin Maryam) Ktk Uislamu Mitume yote Tunawakubali hatupingi hata Mtume mmoja .
So?Wewe jamaa acha uongo..kupiga magoti..kubusu sanamu ndio zenu.
#MaendeleoHayanaChama
Wakristo wa kwanza walikua wanaabudu sanamu..?walikua wanasali jpli?walikua wanaabudu watakatifu?..suala liko wazi hapa kanisa lilijitenga na imani ya kweli ya kristo mpka leo halipo katika injili ya kweli ya kristo limejaa mapokeo na upagani.Nikuelimishe tu. Hakuna kanisa la Roma. Mnachanganywa. Neno roman lilianza kutumika majuzi tu baada ya king henry kujitenga na kanisa katoliki ambalo makao makuu yalikuwa roma. Sasa alikuwa bado anaamini yeye ni mkatoliki. Sasa kujitofautisha na wakatoliki wale aliojitenga nao ndio akaanza kuwaita wale wa roman catholic, wao kwa kuwa ni waingereza yani anglo. Anglican. Sasa kanisa la Yesu. ni kanisa la ulimwengu yani "katolikos" kwa kigiriki. Hakuna document ata moja wala sala inayosema kanisa la roma. Muwe mnaelewa. Hii shida ata wakatoliki wenyewe wanayo wanajiita waroma. Inapelekea kirahisi sana mtu kuhusisha na mila za warumi mfano za kina constantine. Lakini hakuna kinachofanywa na kanisa kilichotokea kwenye tamaduni za kirumi. Ukibisha soma historia ya wakristo wakwanza namna walivokuwa wanafanya.
Acha upagani..abudu katika roho na kweli..katika imani ya kristo Yesu kwa kushika ile imani ya kweli na amri..ili ukapate kuokolewa.
Kanisa haliabudu sanamu. Wakristo wa kwanza walikuwa wanasali sunday. Hakuna anayeabudu watakatifu. embu ingia ata google basi uondoe ujinga kidogo kwenye source za maana.Wakristo wa kwanza walikua wanaabudu sanamu..?walikua wanasali jpli?walikua wanaabudu watakatifu?..suala liko wazi hapa kanisa lilijitenga na imani ya kweli ya kristo mpka leo halipo katika injili ya kweli ya kristo limejaa mapokeo na upagani.
#MaendeleoHayanaChama
Hilo ni Kanisa la Roma na sio Kwamba ku a watu waliwasingizia. Limeitwa hivyo sababu ni Kanisa lililopo Roma. Full stop na pia huyo kiongozi wenu a naishi romaWewe ndio hujawahi. Huna haya mtu mzima unaropoka vitu huna hakika. Unashuhudia uongo kabisa. Leta evidence. page, yani watanzania bana , unakuta mtu anajifanya anajua jambo na analishupalia utadhani kweli. Kumbe anaishi kwa chuki tu. Catechism ungejua maana yake wewe wala usingeandika huo utopolo maana unatia aibu. Jaribu kujiridhisha au fanya research usikubali kujazwa conspiracy theories. Do some research juu ya kanisa. Ata mimi kabla sijawa mkatoliki nilikuwa na dhana nyingi sana potofu, ila nikaamua kwenda chimbo na sikurudi tena nyuma.
Wakristo wa mwanzo walikuwa huko israel na walikuwa waabudu jmosi kama kawaida yao ila wakifuata mafundisho ya Yesu Kristo...ukitaka jua hilo nenda hapo Ethiopia sehemu ambayo wazungu hawakuwahi kuleta mixing ya hivyo vitu. Na hata ulisoma matendo ya mitume yote hakuna sehemu kuwa walisali J2. Constantine akishirikiana na Kanisa katoliki ndo walibadili baadae Sana kwa reason kwamba "MUNGU KAWARUHUSU KUBADILI CHOCHOTE" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. NA HATA VITABU VYENU VYA MIONGOZO HUSEMA HIVYO1.
Kanisa haliabudu sanamu. Wakristo wa kwanza walikuwa wanasali sunday. Hakuna anayeabudu watakatifu. embu ingia ata google basi uondoe ujinga kidogo kwenye source za maana.