Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

Pamoja na kashfa zote zinazoikumba Vatican? Acheni kuudhalilisha ukristo kwa kauli zenu Kama hizi..by the way njia pekee ya kukupeleka peponi ni kufanya yaliyo mema na kushika amri kuu za Mungu...
 
eti council ya Laodiccia we bwana ndio mvivu nakupa link ujaribu kusoma kwanza
 
Ujinga mtupu. Rais sasa muislam, waziri mkuu, jaji mkuu na wengine wengi hamridhiki. Basi nendeni Makka wakawafukuzilie mbali na ujinga wenu usioisha. Tutawaelwaje na nini tuelewe wakati hajielewi wala kuelewa kitu?
 
Na ndilo kanisa linaloongoza duniani kwa kashfa ya kuwalawiti watoto.
 
Na ndilo kanisa linaloongoza duniani kwa kashfa ya kuwalawiti watoto.
Kesi za Waalimu wa Madrasa na Masheikh Kulawiti Kutwa Vijana wa Kiume huwa huzisikii? Tena kwa Taarifa yako ni nyingi hata kuliko hizi za Wakatoliki unazozisikia kwa Nadra.
 
Kesi za Waalimu wa Madrasa na Masheikh Kulawiti Kutwa Vijana wa Kiume huwa huzisikii? Tena kwa Taarifa yako ni nyingi hata kuliko hizi za Wakatoliki unazozisikia kwa Nadra.
Wewe unazungumzia Tanzania mimi nazungumzia dunia, awapo anayeongoza yupo anayefuatia na aliyeshika mkia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…