Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
We nae nimekufuatilia kwenye huu uzi naona huna hoja. We ni tabularasa tu hakuna kitu unajua weweUnaamini MAPOKEO zaidi kuliko BIBLIA TAKATIFU.
Umeona SIKUKUU ZA WATAKATIFU zimetajwa wapi katika BIBLIA TAKATIFU?
Wapi cheo cha PAPA kimetajwa kwenye BIBLIA TAKATIFU?
Aliyekwambia DHEHEBU lenyewe watu wengi duniani ni la KWELI ni nani?
Wingi wa DHEHEBU kuwa na WAFUASI WENGI si kigezo cha kuwa la KWELI, Wala si kigezo cha KUIONA MBINGU.
"Ingieni kwa kupitia mlango ulioMWEMBAMBA; maana MLANGO ni MPANA, na njia ni PANA iendayo upotevuni, nao ni WENGI WAINGIAO kwa MLANGO huo, na njia IMESONGA iendayo uzimani, nao WAIONAO ni WACHACHE". [Mathayo 7:13-14]
"Nanyi mtaifahamu hiyo KWELI; nayo KWELI itawaweka HURU" [YOHANA 17:17].
mgen
MmhRoman Catholic ni devil worshipers
Msabato bila shakaNdio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.
Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
"AKILI" iliyokutuma kutambua kwamba sina hoja, Kwanini AKILI hiyo hiyo isikutume kuona kuwa "UNALISHWA MAPOKEO" na "MATANGOMWITU" hapo unapoabudia!?!!We nae nimekufuatilia kwenye huu uzi naona huna hoja. We ni tabularasa tu hakuna kitu unajua wewe
Eti shekh wa dathelamMtu kuwa muislamu hakumfanyi kuwa sahihi anaposifia ukristo. Ukishindwa kutumia kichwa cha juu tumia hata cha nichi kidogo
Sio kila cheo katika ukristo lazima kitajwe sawa sawa na maandiko. Lugha hubadilika kulingana na nyakati (language is dynamic), lakini maana ni ileile. Sio kweli kuwa maaskofu hawakutajwa katika biblia. Mapadre na maaskofu katika biblia ndio makuhani na makuhani wakuu (rejea kitabu cha Walawi).Ndio ukweli
Hata Papa alipotoa matamshi yenye mwelekeo wa kuunga mkono mashoga ilionekena wakristo wote ndio msimamo wao.
Hata Rwanda pale wapadre na watawa waliposhiriki mauwaji ilionekana wakristo wote wameshiriki.
Hivyo vyeo vya uaskofu, havipo kibiblia,
Huyo sheikh anatueleza Mambo yaliyo njee ya biblia
Unajua maana ya Ukristo? Tafuta na upate kujua kwa yakini maana ya Ukristo/Mkristo Kibiblia halafu uje urudie kusoma ulichoandika uone kama kina mantiki au la.Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam.
Chanzo: bavicha.tz
Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo tena la Kikristo jua kuwa anamaanisha na ameshajiridhisha vya Kutosha tu.
Katoliki tu ndiyo kila Kitu Ulimwenguni.
Madhehebu yote yamezaliwa na katoliki baada ya kuwa na utata mwingi katika mafundsho ya katolikiNimekuuliza Yesu Alikuwa Anaongea na nani?!
Unaleta mafungu na blabla...
Kwani Aliye kudanganya Ukatoliki ni Jengo nani??[emoji13][emoji13]
Huu Ndio Ukatoli jee ni Majengo??
NGUVU YA KANISA KATOLIKI DUNIANI.
Ukitaka kuona Nguvu ya kanisa katoliki duniani angalia tu mambo machache ambayo yameasisiwa ndani ya kanisa hili takatifu la mitume wa Yesu Kristo na mambo hayo yanafanywa na kufuatwa na madhehebu yote na dini zote, serikali zote na falme zote.
1. CALENDER YA GREGORIAN
Hii ndio kalenda inayotumika duniani kote, kwenye dini zote na madhehebu yote.Hii ndio calendar inayopanga mipango yote kwa kipindi chote cha mwaka katika makampuni,serikali,taasisi na na watu binafsi.Kalenda hii iliasisiwa PAPA Gregory wa Kanisa katoliki,hii ndio calendar rasmi kwa mataifa yote na taasisi zote hata sasa hivi ww usomaye hapa uwe msabato au mwislamu simu yako inatumia system ya Gregorian Calendar.
2.
JUMAPILI [emoji1787]
Najua hapa utabisha,achilia mbali swala la kuabudu katika siku hii,ila ukweli ni kwamba hii ndio siku pekee ambayo dunia mzima inakuwa mapumzikoni katika weekend.Hii ndio siku pekee ambayo karibia asilimia 80 ya ofisi zote duniani,mashule, makampuni n.k yanafungwa kwa ajili ya mapumziko ya weekend.
Waislamu husali siku ya Ijumaa lakini mashule* yanafungwa,maofisi, watu wanakuwa home wamerelax? Hali kadhalika na jumamosi vile vile.Ila ifikapo jumapili dunia mzima inapumzika nyumbani, Jumapili ni zao la kanisa katoliki na inaheshimiwa duniani kote kwa serikali zote na watu wote
3. SIKUKUU YA MTAKATIFU YOSEFU,SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI
Kila Mei Mosi,kanisa katoliki duniani kote huadhimisha sikukuu ya mtakatifu YOSEFU MFANYAKAZI,huyu ndio yule mume wa Maria na Baba mlishi wa Yesu Kristo,makala kuhusu sikukuu hii ipo kwenye page ya Mkatoliki Imara . Sikukuu hii imechukuliwa kama ilivyo na serikali zote ulimwenguni na imekuwa ikitambulika kama Public Holiday.Yaani hata leo hii Rais Mama Samia anahutubia wafanyakazi wote Tanzania kupitia siku hii iliyoasisiwa na kanisa katoliki.Hata wewe leo hii kama ingekuwa sio weekend usingeenda kazini wala hutapata huduma maofisini kwa sababu ya sikukuu hii ya YOSEFU MFANYAKAZI
4. PAPA NA BALOZI WAKE.
Huyu ndio kiongozi pekee wa kidini ambaye ana ofisi ya balozi wake karibia kila nchi duniani,na balozi huyu anatambulika rasmj na serikali za nchi mahalia.Pia hili ni kanisa ambalo makao yake makuu kuna ofisi za mabalozi wa nchi mbalimbali.Kiongozi wa Kanisa hili akienda nchi yoyote ile duniani huwa anapewa heshima ya kipekee zaidi ya kiongozi yoyote yule awe wa kidini au kiserikali.Hii ni nguvu na ushawishi wa kanisa katoliki duniani.
5. BIBLIA
Hili ndio kanisa la kwanza kabisa kuratibu na kuanzisha uandishi wa Biblia.Mtakatifu Jerome ndiye mtu wa kwanza kuandika biblia.Ikumbukwe *kwamba Biblia ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vya maandiko ya Mungu.Kwahiyo kazi hii ya kukusanya vitabu hivi na kuvipangilia kwa mpangilio huu unaotumika hadi sasa ulifanywa na kanisa katoliki.Madhehebu yote duniani wanafurahia kazi hii takatifu iliyofanywa na Kanisa katoliki kupitia kwa mtakatifu wake Jerome.
HESHIMA HII YA KIPEKEE HUPATIKANA TU IKIWA KANISA LINAONGOZWA NA ROHO WA MUNGU.
[emoji120][emoji120][emoji1672][emoji1672]
Wanaaibidhaje kiongoziMapungufu mengi ya katoliki na utata mwingi wa ibada zao , ndio umezaa madhehebu mengne kidgo Lutheran , angalican na wasabato hawana utata mwingi japo upo , Ila hawa wengne qa uhamsho wanaaibisha kabisa ukristo wa kweli
Cheo cha uaskofu kimetajwa ktk vitabu vya agano jipya hasa ktk maandiko ya Paulo. Ameelezea sifa za mtu anayefaa kuwa askofu, kama kuwa na mke mmoja n.k. Sambamba na cheo hicho kuna cheo cha ushemasi.Sio kila cheo katika ukristo lazima kitajwe sawa sawa na maandiko. Lugha hubadilika kulingana na nyakati (language is dynamic), lakini maana ni ileile. Sio kweli kuwa maaskofu hawakutajwa katika biblia. Mapadre na maaskofu katika biblia ndio makuhani na makuhani wakuu (rejea kitabu cha Walawi).
Kichekesho kama hiki kinapatikana wapi ?Ndiyo nani huyu Ndugu? Mimi Mgeni JF.
We hujui kwamba pia bibilia ni mapokeo? alafu unajua bibilia ilikamilika lini? almost miaka miatano baada ya Kristu, alafu na hapo kuipata ilikuwa lazima ujue kusoma na pia uwe na utajiri kupata copy yake. Kitu kilichofanya watu wengi kutokuifaham. Sasa swali la kujiuliza, wakristu wa mwanzo walikuwa wanaabudu vipi? kwa kutumia miongozo ipi? Ukifaham hayo hutokaa ubeze mapokeo matakatifu, Sacred tradition. Soma 2 thesalonians 2:15. Kanisa ni katoliki tu. Na ni moja. Hayo mengine ndio madhehebu yaliyomeguka kwenye Kanisa.Unaamini MAPOKEO zaidi kuliko BIBLIA TAKATIFU.
Umeona SIKUKUU ZA WATAKATIFU zimetajwa wapi katika BIBLIA TAKATIFU?
Wapi cheo cha PAPA kimetajwa kwenye BIBLIA TAKATIFU?
Aliyekwambia DHEHEBU lenyewe watu wengi duniani ni la KWELI ni nani?
Wingi wa DHEHEBU kuwa na WAFUASI WENGI si kigezo cha kuwa la KWELI, Wala si kigezo cha KUIONA MBINGU.
"Ingieni kwa kupitia mlango ulioMWEMBAMBA; maana MLANGO ni MPANA, na njia ni PANA iendayo upotevuni, nao ni WENGI WAINGIAO kwa MLANGO huo, na njia IMESONGA iendayo uzimani, nao WAIONAO ni WACHACHE". [Mathayo 7:13-14]
"Nanyi mtaifahamu hiyo KWELI; nayo KWELI itawaweka HURU" [YOHANA 8:32].
mgen
Wapo Kama hawana kichwa kiongoziWanaaibidhaje kiongozi
Na hayo nayo ni msomi yako1)Unajua maana ya chuki?
2)Nani alikwambia kuwa mtu akipinga unachokiamini basi anachukia?
3)usisubiri kuambiwa na watu ndio ujione intelligent
4)kanisa katoliki limeingi mambo yafuatayo, (hapa chini) ambapo wale ambao hamuhoji mmeaminishwa kuwa ndio intelligent ila wanaohoji wanaonekaka wajinga.
-ibada za sanamu
-ndoa za jinsia moja
-taasisi ya utawa
Ninavyojua mimi, viashiria vya awali juu ya intelijensia ya mtu yeyote duniani ni uwezo wake wa kuhoji na maamuzi, sasa kama kanisani kwako umeletewa mafundisho yasiyoshabihiana na biblia, badala ya kuhoji umekalia tu kulialia eti watu wanawachukia (hasa wakristo wasio wakatoliki) hauoni kama umefungwa akili huku miguu inatembea? Amka mwana wa adam,
*Not everything you read on the internet is true, you've got to use you common sense