Salaamu Watanzania!
Duniani kote, habari kuu ni Wimbi la tatu la Corona, habari hizi zinaendana na mpango wa chanjo, mpango ambao unatumia matrioni ya fedha kufanikisha hili.
Tanzania nayo haikuachwa nyuma, licha kwamba, kipindi cha nyuma huko, mpango huu haukuwa na umhimu wowote zaidi ya kutumia njia mbadala, njia zisizo tambulika kisayansi, ndizo zilizotumika na zikatuvusha kwa kiasi katika mawimbi yote mawili ya maambukizi ya C - 19.
Sasa, basi, nipende kutumia jukwaa hili kumpongeza sana Mh Rais, Ester wa leo, Mtu jasiri, na kiongozi wa vita hivi, Mama Yetu Samia Suluhu.
Alipoingia tu, akaunda tume itakayokuja na majibu na vitu vya kufuatwa kama nchi, Tanzania ilishudia ile ripoti ya tume ile, mapendekezo yake yalisomwa na kila mtu alisikia.
Hivi majuzi, Mh Rais wetu alisema, Tanzania sasa, nayo inaungana na mataifa mbalimbali kuanza kutumia chanjo kwa raia wake ijapokuwa haitakuwa ni lazima. Ni hiari.
Lakini pia, kama masikio yangu yalisikia sawasawa, aligusia kusema, Miongoni mwa wafanyabiasha wengi na pengine viongozi mbalimbali wa serikali, walitumia mipaka yetu kwenda kupata chanjo katika nchi za jirani, ni jambo jema, kwa kuwa uhai wa mtu, huulinda yeye mwenyewe, hata mandiko yamedhihilisha hilo.
Mantiki yangu ni kwamba, Ikiwa ni kweli watu wengi wenye uwezo wamepata hizi chanjo, Lakini bado tunaona viongozi wetu wakifariki na hakusemwi ni kwa ugonjwa upi umewapata hadi wanapatwa na umauti ingawa si wote waliofariki, hasa hsa utata wa kiongozi aliyefarika majuzi, Ni dhahili kuwa, hatujataka kushughurika na huyu kirusi aina ya Corona.
Sisemi moja kwa moja kwamba, labda Ugonjwa wa Corona ndio unaowaondoa, ila mashaka yangu na ya wengi kuwa, huwenda ni mrusi huyu ndiye anayeondoa uhai wa viongozi wetu kwa sababu, mtu umekuwa mzima siku na usiku wote halafu asubuhi unazima tu ghafla, na unaposikia huko nje jinsi kirusi wa awamu ya tatu anavyopeleka wengi na kwa ghafla makaburini, inatutia wasiwasi sisi raia wa kawaida.
Na mashaka yangu sasa, kama viongozi wengi na wafanyabiashara wamepata chanjo, Kwa nini tena kuwepo na vifo vinavyotia mashaka Kwamba, Corona huwenda ndiye anahusika na vifo hivyo?
Natamani tuwe wakweli sana katika hili, ili itusaidie sisi kama Taifa, Kwani nafahamu, Wataalamu wetu, watafanya kazi zao ipasavyo, na mwisho wa siku tutapata mwafaka na kuvuka juu ya hilo.
Tukiwa wakweli kabisa, na tuakaacha kumlaumu mtu, tukabezi kutafuta suruhisho la hili janga, Ninahakika tutavuka na tutakuwa taifa la kipekee duniani.
Swali langu, Je viongozi wetu wanaofariki ki ghafula kiasi hiki, ni kwa magonjwa yepi, ni Corona au kawaida?
Tuweni wakweli tu, tutapona, Tuakapokuwa wakweli kuhusu vifo vya mamia na maelfu ya watu duniani kwamba, licha ya kuchajwa
bado corona inaweza kuuwa, ndipo tutakuja kugundua pia kwamba, hata hizo chanjo hazitusaidii zaidi sana tunaingia kwenye madeni mengine makubwa kama nchi yasiyokuwa ya lazima,
Na wakati huo, tutakuwa tumeruhusu sasa vichwa vyetu kuchangamka kutafuta ukweli wa hili na nini cha kufanya, ingawa sibezi chochote kwa sasa!
Mungu bariki Tanzania
Mungu bariki viongozi wetu na Watanzania wote
Nakupenda Tanzania