- Thread starter
- #21
Miongoni mwa maswali nilouliza ni pamoja na hili, Mashaka ya watu hata kama ni wachache, wengi walianza kuashumu ule ujio wa waziri mkuu wa china pengine kulipita chanjo kwa baadhi ya ... ..Kwamba?
"Tanzania nayo haikuachwa nyuma, licha kwamba, kipindi cha nyuma huko, mpango huu haukuwa na umhimu wowote zaidi ya kutumia njia mbadala, njia zisizo tambulika kisayansi, ndizo zilizotumika na zikatuvusha kwa kiasi katika mawimbi yote mawili ya maambukizi ya C - 19."
Kumbe hata Jiwe alivuka mawimbi yote mawili kwa kutumia njia mbadala?
Hoja yangu, ni kutaka kama Taifa tuwe kwenye sehemu ya kuusema ukweli bila kuuficha hata kama unaumiza na kufedhehesha, itatusaidia kufahamu endapo hata hizo chanzo tunazochanja je zinamlinda kweli mtu au ni bule tu
Sina uhakika wa viongozi waliochanjwa kwa sababu mimi si shahidi wa hayo, Lakini kwa hizo tu fununu na usemi wa mh Rais kwamba kuna watu ambao wamepata chanjo huku nje ya nchi