Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea.
Tunabembelezana?
Ati we fulani , unaficha mafaili.
Halafu juzi umekula milioni 30 za Wizara.
Daaaah hadi hasira ikanijaa yaaani..