Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kusiwepo kubembelezana katika kupambana na ufisadi, wizi hasa Wizara ya Ardhi.Hapo kamtaja mmoja katusumbua sana katika suala la kiwanja changu hapa mbezi beach.
Dhuluma ni mbaya hao wote wamezoea kuwapiga watu viwanja vyao, siku yao imefika.
Ukali ule wa Magufuli sio kila kiongozi anazaliwa nao na pia sio kielelezo cha ufanisi wa kazi.
Ccm ni genge la wezi na wanalindana TU! Hovyo sana!View attachment 3138419
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea.
Tunabembelezana?
Ati we fulani , unaficha mafaili.
Halafu juzi umekula milioni 30 za Wizara.
Daaaah hadi hasira ikanijaa yaaani......!
Rule of law, hii nchi sio ya kihuni. Vyombo vya sheria, ikiwamo Takukuru wakachakate, that's one sided story, did you hear the defence?View attachment 3138419
Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea.
Tunabembelezana?
Ati we fulani , unaficha mafaili.
Halafu juzi umekula milioni 30 za Wizara.
Daaaah hadi hasira ikanijaa yaaani......!
Nchi kama China, hawacheki na nyani.Rule of law, hii nchi sio ya kihuni. Vyombo vya sheria, ikiwamo Takukuru wakachakate, that's one sided story, did you hear the defence?
Rules of natural justice, hata pale Eden, Mungu alimuuliza kwanza Adam, Adamu akajibu, who the hell is more than the Almighty God!?
Wakibebwa chadema msobe, msobe,mnakuja kulia humu, ila baadae mnataka wengine wabwebwe. Hata katiba mpya ya warioba mnayolilia haina provisions za msobe msobe.
Wizara iingie katika IT, kuwe na paperless ministry, nashangaa we are still manual, wakajifunze mahakamani. Mfumo uwe unawasiliana na mwenye kiwanja pale mtu anapotaka ku-temper, malipo yawe online kwa pass code ya mmiliki wa kiwanja
Mazingira ya china na historia yao ni tofauti, pia China wanafata due process kabla ya kukunyonga, au were ulishaona Waziri wa China anabeba mtu msobe msobe? Si anaachia Polisi na watu wa anti corruption!Nchi kama China, hawacheki na nyani.
Hapo kwenye clip ni kama Waziri anamuuliza mwizi, umekunywa chai?
Uko mbali na reality.Mazingira ya china na historia yao ni tofauti, pia China wanafata due process kabla ya kukunyonga, au were ulishaona Waziri wa China anabeba mtu msobe msobe? Si anaachia Polisi na watu wa anti corruption!
Mpemba kivipi?Mambo yanaenda kasi sana kwahiyo saiv huyo mpemba ndo waziri wa ardhi?
Mgogo huyo 😄Mambo yanaenda kasi sana kwahiyo saiv huyo mpemba ndo waziri wa ardhi?
Mbona anaongea kama mpemba watu wa bara hatuongeag hivyoMgogo huyo 😄
Nilijua mpemba kumbe mgogoMpemba kivipi?
Kwenye masuala ya maendeleo watu hawaangalii makabila wala umetokea wapi siku hiziMbona anaongea kama mpemba watu wa bara hatuongeag hivyo
Yakheee mbona waiba tena?Nimeona hii clip ya Waziri wa Ardhi akiongea na wafanyakazi wa Ardhi wenye tuhuma mbali mbali.
Kinachokosekana hapo kwenye kikao ni kahawa na vitafunio.
Waziri ana chat na watuhumiwa, tutafika?
Hapo ilikusa mtu abebwe masobe msobe ndani ya Defender na ajikute kalalia Segerea.
Tunabembelezana?
Ati we fulani , unaficha mafaili.
Halafu juzi umekula milioni 30 za Wizara.
Daaaah hadi hasira ikanijaa yaaani..
Ametajwa Chibanda na huyo dada, hata Mathew ambaye ni mkurugenzi wa ardhi Tanzania nzima kwa sasa aliifanya hii michezo miaka ya nyuma.Kusiwepo kubembelezana katika kupambana na ufisadi, wizi hasa Wizara ya Ardhi.
Tuanze kuwataja.
Na hao wafanyakazi wanasumbua sana.
Mimi ninao wawili, Bishanga na Mrema ghorofa ya nne.
Mtoto wa Ndejembi kada maarufu wa CCM tangu enzi za Mwalimu Nyerere.Mbona anaongea kama mpemba watu wa bara hatuongeag hivyo
Huyo Matthew ana kesi nyingi sana za kupora viwanja kwa hila.Ametajwa Chibanda na huyo dada, hata Mathew ambaye ni mkurugenzi wa ardhi Tanzania nzima kwa sasa aliifanya hii michezo miaka ya nyuma.
Alipora kiwanja cha marehemu Mama yangu baada ya kupata habari kwamba ameaga dunia mwaka 2001, usumbufu wa kesi mahakamani unaendelea mpaka muda huu.
Baada ya kifo chake wakamleta na kumkabidhi kiwanja hicho na wakimwambia mzee wapo tayari kumpatia kiwanja kingine katika eneo jingine, mzee alikataa.
Ni mtandao mpana wa wizi ambao kwa ukubwa wake unaanzia kwa wakubwa wa serikali wenyewe (syndicate). Boss mmoja alipokuja naa mfumo mpya wa kuvitambua viwanja vyote Tanzania nzima ambao ungerahisisha kazi, akaanza kupigwa vita hapo hapo wizarani.