Tukiwaambia fanyeni mazoezi mnabisha cheki huyu bibi dada., ukipewa unaoa

Wewe na mazoezi yako utakufa na kuzikwa kama mimi tu, tofauti yetu ni kwamba utazikwa kimbaumbau na mimi nitasepa na kitambi changu vyote simple tu.
 
Za masiku wanaJamii...

anaonekana fiti
...simjui ivo nisiseme mengi kuhusu yeye, ila siku hizi bhana sura na miili ya kununua mingi huezi jua ni asili au la kuundwa upya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…