Tukiwaambia itikadi kali kuwa Israel ni ya wayahudi tangu miaka 3k wanasema ni "mambo ya kufikirika" ila cha kushangaza wao wana yakufikirika mengi

Tukiwaambia itikadi kali kuwa Israel ni ya wayahudi tangu miaka 3k wanasema ni "mambo ya kufikirika" ila cha kushangaza wao wana yakufikirika mengi

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Haijalishi wewe ni msalaba, nyota na mwezi, au unaamini katika manyoya ya kuku, etc

How sure are you kwamba unachoamini ndicho cha ukweli na uhalisia.

Kisa ulikipokea kwa baba yako mpendwa, ukafundwa na mwalimu wako wa kiroho na kukumbushwa kuhuzulia kila siku na mama yako mpendwa.

Kwa fikra pevu ipi iliokupa uhakika kuwa unaemuamini kweli alitumwa na Mungu.

Wewe ni mihemuko unatumia, huruma ya kutengenezewa kisa anaepewa kichapo ni wa itikadi yako, ila umekataa kutafuta ukweli.

Kwa hio kwa mantiki hii niache kwa uhuru wangu wa kuamini kama vile unavyojipa uhuru kuamini unachoamini.

Archaeology imefanyika na kubainisha, trace imefanyika na kubainisha, hata kwenye vitabu vyenu vya kiroho vimeandika, nchi zenu za itikadi kali zimeandika historia namna zilivyovamia wayahudi (mamluk, wakina saladin, ottoman)...... Lakini hivi vyote mnavifungia macho.

Enjoy your miserable lives, kichapo mtaendelea kupewa
 
Back
Top Bottom