Binafsi nawatafuta sana wafurukutwa wa magaidi hao tujibizane kwa hoja maana walikuwa wanawasifia sana magaidi wa Hezbollah lakini walipoingia kwenye 18 za IDF walilia kilio cha Mbwa-kachokaHii ndio ile Hezbollah aliyokuwa anatishia nayo bibi FaizaFoxy humu kwamba ni moto akirejea battle ya miaka gani sijui!
Mlipuko wa zile pagers ilikuwa ishara ya wazi kwamba kazi imeisha na ikawa confirmed baada ya gaidi mkuu Nasrallah kurudishwa kuzimu. Kinachoendelea ni safisha safisha tu.
Spies aka Mashushushu.....Lebanon ni playground ya MossadIDF inatumia mbinu gani kuwatambua hawa magaidi waliopo mbali na Israel?
Hawa watu Wana mkono mrefu sanaaa
Tulieni Hezbullah alikuwa anatafuta reason ya kukianzisha tena msije anza kulilia mneishiwa silaha huko USKIPONDO CHA NGUVU π΄
Kamanda wa Hezbollah Ali Kaid Hashem katika kijiji cha Khania, kusini mwa Lebanon. Kakoswa na kombola la kwanza kaamua kukimbia lakini akakutana na bomu la pili ambalo hakuweza kupona aliangamizwa palepale bila huruma.
View: https://x.com/osint613/status/1914638512684458055?s=61
Ukimwacha huyo anaenda kuua hundreds wasio na hatia! Eliminate that facken.Takbiiiiiiir ,
Sema Yahudi ana roho mbaya sana udevu baada ya kukoswa koswa akajua yameisha kumbe ndio kwanzaaa wameanza akatupiwa jingine ,ndevu zikasambaa sambaa uwanja mzima
Bado yanalala
Mkuu Mungu azidi kukubariki kutu update.KIPONDO CHA NGUVU π΄
Kamanda wa Hezbollah Ali Kaid Hashem katika kijiji cha Khania, kusini mwa Lebanon. Kakoswa na kombola la kwanza kaamua kukimbia lakini akakutana na bomu la pili ambalo hakuweza kupona aliangamizwa palepale bila huruma.
View: https://x.com/osint613/status/1914638512684458055?s=61
Sawa Myahudi Mweusi. Hongera sana kwa ushindi huyo