Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
Wewe utakua umekuja juzi hapa JF karibuUnajifariji? Ona kipigo hicho!,,
Wewe utakua umekuja juzi hapa JF karibuUnajifariji? Ona kipigo hicho!,,
Hivi Kwa uelewa wako unazani Tanzania na ukubwa wake akipigana na kanchi kadogo kama Rwanda hakuna mwananeshi wa Tanzania atae uwawa? Swali jingine... Hivi vita aliyoanzisha hamas tarehe 7 October ameshinda?Wangekua na mkono mrefu wasingekuwa wanawindwa na kuuliwa kama ndege na Hamas achilia mbali Hezbollah
Unajua kilichosababisha Hezbollah na Israel kusimamisha vita? Unajifanya umesahau Hezbollah iliwahamisha Wakazi wa kaskazini mwa Israel ? IDF hawajawahi kuivamia Lebanon kwa ground unajua hilo?Hivi Kwa uelewa wako unazani Tanzania na ukubwa wake akipigana na kanchi kadogo kama Rwanda hakuna mwananeshi wa Tanzania atae uwawa? Swali jingine... Hivi vita aliyoanzisha hamas tarehe 7 October ameshinda?
Swali la pili! Vita aliyoanzisha Hezbollah dhidi ya Israel Kwa kile kilichoitwa kuwa tetea Hamas ameshinda?
Wenzio Hezbollah wanalia Kwa kishindo Kwa hasara waliyopata kuanzia viongozi wao mpaka makamanda wao.Unajua kilichosababisha Hezbollah na Israel kusimamisha vita? Unajifanya umesahau Hezbollah iliwahamisha Wakazi wa kaskazini mwa Israel ? IDF hawajawahi kuivamia Lebanon kwa ground unajua hilo?
Hujajibu maswali niliyokuuliza. Kama ni mtihani umefeliWenzio Hezbollah wanalia Kwa kishindo Kwa hasara waliyopata kuanzia viongozi wao mpaka makamanda wao.
Lengo la Hezbollah kuishambulia Israel ilikuwa sababu ya vita ya gaza,Sasa hiyo vita ya Gaza imeisha? Maana Wapalestina wanaendelea kuchapka tu.
Mbona rahisi tu kwani ujui kuwa muislamu yoyote hana akili ni wapumbavu pumbavu fulani hivi wanatabia ya kufanya ushabiki badala ya kutumia akili hata kwenye mambo ya msingiIDF inatumia mbinu gani kuwatambua hawa magaidi waliopo mbali na Israel?
Hawa watu Wana mkono mrefu sanaaa
Hahaha my ribsMbona rahisi tu kwani ujui kuwa muislamu yoyote hana akili ni wapumbavu pumbavu fulani hivi wanatabua ya kufanya ushabiki badala ya kutumia akili hata kwenye mambo ya msingi
Basi yaishe! Israel anawaogopa sana Hezbollah na hamas. Tena atachapika sana huyo Israel baada ya kumuua kiongozi wa Hezbollah na baada ya kuwauwa Ismail hanniyeh katikati ya Tehran na Yahya Sinwar huko Gaza. HAPO VIPI ROHO KWATU SASA SHEIKH?Hujajibu maswali niliyokuuliza. Kama ni mtihani umefeli
Mimi nipo hapa Kibwegere na ninajivunia uafrika wangu. Vipi wewe mnazareti unayeongea Kiswahili. Natamani na mimi unifundishe kuongea kiyahudi.Hongera sana Mwarabu-koko!!
Kwahiyo serikali ya Lebanon inadanganya kwamba Israel ipo ndani ya ardhi Yao na kuwaomba waondoke? Dunia yote inafahamu jeshi la Israel la ardhini lipo Lebanon wewe huko lukuledi kijijini unadai jeshi la ardhini la Israel haijavamia Lebanon.Unajua kilichosababisha Hezbollah na Israel kusimamisha vita? Unajifanya umesahau Hezbollah iliwahamisha Wakazi wa kaskazini mwa Israel ? IDF hawajawahi kuivamia Lebanon kwa ground unajua hilo?
Acha ujinga na Upumbavu hii ni JF Ina majukwaa mengi na hili Jukwaa linaitwa INTERNATIONAL FORUMS nitakuwa mjinga na mpumbavu kama wewe kama nitapost hapa mambo ya ”KIBWEGERE wamtimua mtendaji wa kijij” elewa jukwaa hili ni la “KIMATAIFA” kuna majukwaa mengi lipo hata la EAST-AFRICA FORUMS chaguo ni lako tu.Mimi nipo hapa Kibwegere na ninajivunia uafrika wangu. Vipi wewe mnazareti unayeongea Kiswahili. Natamani na mimi unifundishe kuongea kiyahudi.
By the way. Sisi waafrika ni wajinga kupindukia. Tumejivisha Uzungu, Uyahudi na Uarabu. Tunafuatilia sana yanayoendelea huko kwao lakini ya kwetu hatuyaoni. Tunajisikia fahari kuwa Wayahudi, waarabu, wamarekani , warusi nk. Humu tunakasirikiana kisa mapenzi kwa hizo jamii.
Tunachokifanya mimi na wewe ndicho kielelezo cha ujinga wetu.
Check unavyoifuatilia Israel 🇮🇱 yaani hata ikikojolea chamba la Iran 🇮🇷 yaani wewe utashangilia sana na kuposti.
Usikasirike kukuita mtumwa wa itikadi za KIIMANI na mapenzi kwa mataifa yasiyokuwa na habari na wewe hata chembe.
Anyway, hivi safari hii nafasi ya Papa anaweza kuchaguliwa Mweusi mwenzetu au
Huyo ni mvaa kobaz mpuuze tu, hapo ungeleta habari za kuisifia Iran au za mujahideen kuuwa watu wasio wa imani Yao asingekereka. Na ungeleta habari za Russia kupiga ukraine angekupongeza sana.Acha ujinga na Upumbavu hii ni JF Ina majukwaa mengi na hili Jukwaa linaitwa INTERNATIONAL FORUMS nitakuwa mjinga na mpumbavu kama wewe kama nieapostolski hapa mambo ya ”KIBWEGERE wamtimua mtendaji wa kijij” elewa jukwaa hili ni la “KIMATAIFA” kuna majukwaa mengi lipo hata la EAST-AFRICA FORUMS chaguo ni lako tu.
Nakushangaa wewe kwa ujinga na upumbavu wako kutaka niposti UHARO unaotaka wewe!! Najua wewe unapenda Mambo ya NGONO usinilazimishe na mimi niwe kama wewe.
Harafu ulivyo Mjinga na Mpumbavu sana unasema sisi waafrika wajinga sana tengua usemi huo sema WEWE NI MJINGA NA MPUMBAVU SANA usifikiri wote ni wajinga na wapumbavu sana kama wewe!!
Mimi nafuatilia sana mambo ya Israel kwanza mimi Niko hapa Israel sasa wewe Mmatumbi mwenzangu unanizuiaje nisiposti yanayotokea huku? Pili ninaposti habari za Israel kwa sababu wajinga na wapumbavu kama wewe mmekuwa mkipotosha habari kuhusu Israel sasa mimi kuziweka sawa kuna ubaya gani mjinga wewe? Tatu habari hizi na postoi kwenye Jukwaa husika maana habari hizi ningeziposti kwenye Jukwaa la EAST-AFRICA FORUMS ningekuwa mjinga na mpumbavu kama wewe.
Nakushangaa hata wewe Kunibandika majina na kuona wivu mimi kuongea Hebrew mbona mimi sikushangai ukiongea kiarabu? Nakushauri tu uache ujinga jibu hoja siyo kushambulia watu kwa mitozamo yako ya kijinga na kipumbavu. Ni matumaini yangu umenielewa vizuri mjinga wewe.
Ngoja niweke sawa mambo haya kama ifuatavyo;Kwahiyo serikali ya Lebanon unadanganya kwamba Israel ipo ndani ya ardhi Yao na kuwaomba waondoke? Dunia yote unafahamu jeshi la Israel la ardhini lipo Lebanon wewe huko lukuledi kijijini unadai jeshi la ardhini la Israel haijavamia Lebanon.
Ndugu wachambuzi msipigane kwani shida nini ? Embu tuendelee na mada wakubwaNgoja niweke sawa mambo haya kama ifuatavyo;
Oct 08,2023 Magaidi wa Hezbollah walianza kuishambulia Israel kutokea Lebanon kusini baada ya mashambulizi kuzidi Israel iliamua kuwahamisha wananchi wake huko kaskazini mwa Israel. Kipindi hicho majeshi ya Israel yalikuwa bado hayajaingia ndani ya Lebanon baada ya Majeshi ya Israel kuwadhibiti vilivyo magaidi wa Hamas ndipo sasa iliamua kula sahani moja na magaidi wa Hezbollah kwa kuingia ndani ya Lebanon ili kuzuia mashambulizi yao dhidi ya vijiji vya Israel huko kaskazini ndipo Hezboullah na kiongozi wao Hassan Nasrallah waliendeleza kushupaza mafuvu ya vichwa vyao ndipo Majeshi ya Israel yaliendelea kuwashambulia magaidi hao mpaka wakafuta uongozi mzima wa Hezbollah akiwemo kiongozi wao Hassan Nasrallah.
Majeshi ya Israel yakiwa huko Lebanon 🇱🇧 yaliweza kuteka na kuharibu silaha nyingi za Hezbollah na kuharibu miundombinu yao ya kigaidi iliharibiwa vibaya sana na ghala zao za kuhifadhia milipuko huko Beirut yaliangamizwa baada ya kuona mambo yamewaendea vibaya walisalimu amri na kuamua kusaini mkataba wa kusitisha mapigano kinyume kabisa na walivyokuwa wakisema alipokuwepo kiongozi wao Hassan Nasrallah.
Mkataba wa kusitishwa mapigano mojawapo ya masharti ilikuwa Hezbollah watówkę huko kusini mwa Lebanon mpaka kwenye mto Litan na wapokonywe silaha zao baada ya siku 60 na majeshi ya Israel ndipo yatoke huko kusini mwa Lebanon.
Kwa hiyo mpaka sasa hivi magaidi hao bado hawajapokonywa silaha zao na bado hawajarudi kwenye mto Ritan hicho ndicho kinachosababisha majeshi ya Israel yaendelee kuwapokea huko Lebanon kusini mpaka sasa hivi.
Haya mambo ni magumu sana! Hivi kwenye wale bikira72 wapo na mademu wa kimasai na wajaruo na wasukuma ?Maana nna assume hapa Saddam Hussein na Kina Osama bin laden na kina Yayaha Sinwar usikute wanamega dada zetu huko huku Muddy na Allah wanashuhudia tuMimi nipo hapa Kibwegere na ninajivunia uafrika wangu. Vipi wewe mnazareti unayeongea Kiswahili. Natamani na mimi unifundishe kuongea kiyahudi.
By the way. Sisi waafrika ni wajinga kupindukia. Tumejivisha Uzungu, Uyahudi na Uarabu. Tunafuatilia sana yanayoendelea huko kwao lakini ya kwetu hatuyaoni. Tunajisikia fahari kuwa Wayahudi, waarabu, wamarekani , warusi nk. Humu tunakasirikiana kisa mapenzi kwa hizo jamii.
Tunachokifanya mimi na wewe ndicho kielelezo cha ujinga wetu.
Check unavyoifuatilia Israel 🇮🇱 yaani hata ikikojolea chamba la Iran 🇮🇷 yaani wewe utashangilia sana na kuposti.
Usikasirike kukuita mtumwa wa itikadi za KIIMANI na mapenzi kwa mataifa yasiyokuwa na habari na wewe hata chembe.
Anyway, hivi safari hii nafasi ya Papa anaweza kuchaguliwa Mweusi mwenzetu au