technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Sasa tumeanza kwa vitendo wananchi tunataka reform tutatumia elimu zetu ujuzi wetu kuhakikisha haki kwanza halafu ndio tunaenda kwenye uchaguzi
Chezeni na watu wote lakini mchicheze na kizazi Cha vijana walioenda shule halafu mnawanyima kazi na kuwapa kazi machawa!!.
Tutawachakaza nyie mna pesa Ila sisi tuna akili
Tutaiweka uchi hii nchi na ufisadi wake wote na Viongozi wake wote mafisadi
Kiufupi matokeo ya kuwa mbogo kwenye reform yatakuwa na reaction mbaya Sana kwenu
Huu mwaka tafuteni watu wenye akili wakae kwenye system other wise tutawanyoosha!!
NEC tunawazoom tu!!
No reform no election.