Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,363
- 5,354
Hurusiwi kijua hilo.Ooouh.
Wa account za taasisi!! Kwa hiyo aliyofanya hayo ni vijana wa no reforms no election?
Hurusiwi kijua hilo.Ooouh.
Wa account za taasisi!! Kwa hiyo aliyofanya hayo ni vijana wa no reforms no election?
That's useless and completely nonsense agenda gentleman 🐒Sasa tumeanza kwa vitendo wananchi tunataka reform tutatumia elimu zetu ujuzi wetu kuhakikisha haki kwanza halafu ndio tunaenda kwenye uchaguzi
Chezeni na watu wote lakini mchicheze na kizazi Cha vijana walionda shule
Tutawachakaza nyie mna pesa Ila sisi tuna akili
Tutaiweka uchi hii nchi na ufisadi wake wote na Viongozi wake wote mafisadi
Kiufupi matokeo ya kuwa mbogo kwenye reform yatakuwa na reaction ya hatari Sana
Huu mwaka tafuteni watu wenye akili wakae kwenye system other wise tutawanyoosha!!
NEC tunawazoom tu!!
No reform no election.
Wewe ni ZEZETA positiveHuku umehificha na Id Feki?
Mtu mwenye akili unaandika Hati ya Mtu aliefeli form 4?
Huna hiyo akili
wasimamizi ndio wawajibikeNa nchi ni mimi na wewe na yeyote.
Huku umehificha na Id Feki?
Mtu mwenye akili unaandika Hati ya Mtu aliefeli form 4?
Huna hiyo akili
Sawawasimamizi ndio wawajibike
Utekaji imekuwa tabia endelevu inaenda sasa kuota mizizi na kukoma endapo tusipo mtoa madarakani mkoloni mweusi, askofu nkwandwe wa Jimbo katoliki la mwanza aelezea alivyo nusurika kutekwa asee🥺Sasa tumeanza kwa vitendo wananchi tunataka reform tutatumia elimu zetu ujuzi wetu kuhakikisha haki kwanza halafu ndio tunaenda kwenye uchaguzi
Chezeni na watu wote lakini mchicheze na kizazi Cha vijana walioenda shule halafu mnawanyima kazi na kuwapa kazi machawa!!.
Tutawachakaza nyie mna pesa Ila sisi tuna akili
Tutaiweka uchi hii nchi na ufisadi wake wote na Viongozi wake wote mafisadi
Kiufupi matokeo ya kuwa mbogo kwenye reform yatakuwa na reaction mbaya Sana kwenu
Huu mwaka tafuteni watu wenye akili wakae kwenye system other wise tutawanyoosha!!
NEC tunawazoom tu!!
No reform no election.