technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,718
- 58,893
Wewe ndo hauna akili, no reforms no electionHuku umehificha na Id Feki?
Mtu mwenye akili unaandika Hati ya Mtu aliefeli form 4?
Huna hiyo akili
KWANI UMEKULA MAHARAGE YA WAPI MPAKA UNAJMBA HIVYO HAPA? UNAJIELEWA KWELI WEWE MBURULA ? CHADEMA WAKO HOIIIIIIIIIII UNAKUJA KUKOMAZA FUVU LAKO HATA NRNE YA NYOKWEEEEEEESasa tumeanza kwa vitendo wanachi tunataka reform tutatumia elimu zetu ujuzi wetu kuhakikisha haki kwanza halafu ndio tunaenda kwenye uchaguzi
Chezeni na watu wote lakini mchicheze na kizazi Cha vijana walionda shule
Tutawachakaza nyie mna pesa Ila sisi tuna akili
Tutaiweka uchi hii nchi na ufisadi wake wote na Viongozi wake wote mafisadi
Kiufupi matokeo ya kuwa mbogo kwenye reform yatakuwa na reaction ya hatari Sana
Huu mwaka tafuteni watu wenye akili wakae kwenye system other wise tutawanyoosha!!
No reform no election.
Ningekua na hizo maarifa haki ningefanya balaa. Wadukuzi kazi iendelee kama.wasemavyo majizi ya mchichaSasa tumeanza kwa vitendo wanachi tunataka reform tutatumia elimu zetu ujuzi wetu kuhakikisha haki kwanza halafu ndio tunaenda kwenye uchaguzi
Chezeni na watu wote lakini mchicheze na kizazi Cha vijana walionda shule
Tutawachakaza nyie mna pesa Ila sisi tuna akili
Tutaiweka uchi hii nchi na ufisadi wake wote na Viongozi wake wote mafisadi
Kiufupi matokeo ya kuwa mbogo kwenye reform yatakuwa na reaction ya hatari Sana
Huu mwaka tafuteni watu wenye akili wakae kwenye system other wise tutawanyoosha!!
No reform no election.
Nchi inapitia udukuzu mkuuMkuu uzi hauna taarifa ulizozoeleza. Unaweza kuziweka ili tuliopitwa tukaelewa unaongelea nini?
Ooouh.Nchi inapitia udukuzu mkuu
Wanasema wakenya. According to wajuzi wa hayo mamboOoouh.
Wa account za taasisi!! Kwa hiyo aliyofanya hayo ni vijana wa no reforms no election?
Sasa hapa wewe na yeye na hana akili?.Huku umehificha na Id Feki?
Mtu mwenye akili unaandika Hati ya Mtu aliefeli form 4?
Huna hiyo akili
Oouh...it is possible maana ofisi za Makampuni ya mebeberu nyingi zipo Kenya.Wanasema wakenya. According to wajuzi wa hayo mambo
Iwe wao iwe watu wa reforms au yeyote ni dhahiri nchi imepatwa na aibu kuubwa sana.Oouh...it is possible maana ofisi za Makampuni ya mebeberu nyingi zipo Kenya.
Ila pia inawezekana sio wao.
Ila mtoa uzi anaonyesha yeye na jamaa zake ndiyo wanahusika.
Na nchi ni mimi na wewe na yeyote.Iwe wao iwe watu wa reforms au yeyote ni dhahiri nchi imepatwa na aibu kuubwa sana.
Yes. Ila kuna wao afu kuna sisi au wewe ni wao au wewe ni sisi..?Na nchi ni mimi na wewe na yeyote.
Sasa si bora wa ID fake je wale walio ficha uso mahakaman nao walikuwa wanaogopa nini.Huku umehificha na Id Feki?
Mtu mwenye akili unaandika Hati ya Mtu aliefeli form 4?
Huna hiyo akili
Unataka ajianike ili watu watumie ujuzi wao? kabla ya kukosoa uandishi wake, umehakiki wa kwako au ndio kuutia aibu Mti Safi?Huku umehificha na Id Feki?
Mtu mwenye akili unaandika Hati ya Mtu aliefeli form 4?
Huna hiyo akili
Na hicho ndicho ccm wengi hawakijui kwamba wanapigania maslahi ya wahuni walio jivika uccmKama huna mambo ya kufanya lakini kama una mambo ya kufanya huwezi shughulika na ujinga kwa maslahi ya wengine na kuacha yakwako hiyo ndo akili Duh!