GE2025 Tukiwaambia 'no reforms no election' ni mradi wa watu wachache mnabisha! haya sasa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Irene17

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
42
Reaction score
116
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika [TLS] Boniface Mwabukusi ambae alikuwa mstari wa mbele pamoja na makamanda wa CHADEMA katika kuhubiri NRNE tayari amewageuka wenzake na sasa anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi.

Yaani kiufupi iko hivi, Mwabukusi akiwa na CHADEMA anasema No Rifomu No Eleksheni, akiwa na wanasheria wenzake wa TLS anawaambia waende wakagombee ubunge kwa kupitia CCM ili waende bungeni.

Hii ikufunue akili mwananchi, uache kuwa mtaji wa kisiasa wa wanaojiita wanasimamia msimamo wa No Rifomu No Eleksheni, kimsingi hakuna msimamo kama huo ndani ya chama cha CHADEMA na viongozi wanasimamia msimamo huo sababu ndio propozo waliopeleka wa wazungu wakapewa hela.

Propozo hiyo ndiyo inawafanya daily unasikia viongozi wa CHADEMA wanataka kwenda mara Canada, mara Ubelgiji wako wako airport, mara wako Namanga.....ni wanaenda kuchukua pesa zao za mradi wa NO RIFOMU NO ELEKSHENI ambazo zinaingia kwa awamu halafu wewe mtanzania wanakutumia ili ukajaze umati wapige picha wawatumie wazungu wanaowapa fedha hizo.

Hujiulizi Mwenyekiti wa chama ambae ni mwanasheria mkongwe na hata wao wanamtaja kuwa ni mwamba wa sheria Tundu Lissu ni kwa nini alitamka maneno ya "......tutafanya uhaini....." mbele ya vyombo vya habari, au unadhani ile ni siasa tu?

Alitamka vile akijua lazima atakamatwa sababu sheria zetu zinakataza maneno ya aina ile, shida yake akamatwe ili kuipa uzito propozo yao kwa wazungu na hela ziongezeke nyingi zaidi, ukidhani aliongea vile bahati mbaya, umejidanganya mtanzania!

Soma Pia: Rais TLS ampigia chapuo Nkuba Ubunge Kahama Mjini

Ni kwamba kila mtu anaeunga mkono NRNE ndani ya CHADEMA anakula mahala ambapo ana mkate wake, huyu Mwabukusi yeye akienda CHADEMA anasema No Rifomu, akirudi kwa CCM anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi yaani ni kama Ronaldo Cr7 wa siasa, anapiga miguu yote na header anaruka nazo pia!

Rudi kafanye kazi, acha kuwa ugali wa wanaharakati biashara wa watanzania.
 
Rudi ukalale uote tena
 
Ana fungu la jumuiya ya Ulaya kusimamia uchaguzi, sasa mtego unakuja, T. L. S waziteme hela? Inakataa, imagine Mwabukusi atembee nchi nzima kwa miezi mitatu na mawakili wengine, hako ka posho je! Yaani aache kupanga maisha kisa chadema! Fursa haziji mara mbili.
 
Aisee! Umemaliza kuandika au unaendelea? Maana hujaeleweki kama unga wa ngano ama majina ya nywele.
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika [TLS] Boniface Mwabukusi ambae alikuwa mstari wa mbele pamoja na makamanda wa CHADEMA katika kuhubiri NRNE tayari amewageuka wenzake na sasa anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi.

Yaani kiufupi iko hivi, Mwabukusi akiwa na CHADEMA anasema No Rifomu No Eleksheni, akiwa na wanasheria wenzake wa TLS anawaambia waende wakagombee ubunge kwa kupitia CCM ili waende bungeni.

Hii ikufunue akili mwananchi, uache kuwa mtaji wa kisiasa wa wanaojiita wanasimamia msimamo wa No Rifomu No Eleksheni, kimsingi hakuna msimamo kama huo ndani ya chama cha CHADEMA na viongozi wanasimamia msimamo huo sababu ndio propozo waliopeleka wa wazungu wakapewa hela.

Propozo hiyo ndiyo inawafanya daily unasikia viongozi wa CHADEMA wanataka kwenda mara Canada, mara Ubelgiji wako wako airport, mara wako Namanga.....ni wanaenda kuchukua pesa zao za mradi wa NO RIFOMU NO ELEKSHENI ambazo zinaingia kwa awamu halafu wewe mtanzania wanakutumia ili ukajaze umati wapige picha wawatumie wazungu wanaowapa fedha hizo.

Hujiulizi Mwenyekiti wa chama ambae ni mwanasheria mkongwe na hata wao wanamtaja kuwa ni mwamba wa sheria Tundu Lissu ni kwa nini alitamka maneno ya "......tutafanya uhaini....." mbele ya vyombo vya habari, au unadhani ile ni siasa tu?

Alitamka vile akijua lazima atakamatwa sababu sheria zetu zinakataza maneno ya aina ile, shida yake akamatwe ili kuipa uzito propozo yao kwa wazungu na hela ziongezeke nyingi zaidi, ukidhani aliongea vile bahati mbaya, umejidanganya mtanzania!

Soma Pia: Rais TLS ampigia chapuo Nkuba Ubunge Kahama Mjini

Ni kwamba kila mtu anaeunga mkono NRNE ndani ya CHADEMA anakula mahala ambapo ana mkate wake, huyu Mwabukusi yeye akienda CHADEMA anasema No Rifomu, akirudi kwa CCM anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi yaani ni kama Ronaldo Cr7 wa siasa, anapiga miguu yote na header anaruka nazo pia!

Rudi kafanye kazi, acha kuwa ugali wa wanaharakati biashara wa watanzania.
Ww utakuwa ni mzee lazima, wazee ndio huwa wanatumia propaganda za aina hii.
 
Kumbuka watu wapo kazini ..
 
kwamba tukiacha kupiga kura ni mradi wa mtu sawa tukubali (kwa ujinga wa hoja yako)

basi nasi tuulize tukipiga kura pia ni mradi wa mtu kuendelea kunufaika ama yenyewe inageuka kuwa uzalendo
nashangaa kupiga kura kuwa mradi wa mtu, sisi tulishafanya na ngo moja unaambiwa usijenge nyumba kaa ya nyasi, na watoto waonekane wanalala chini, tunapga picture tunaweka kwenye mapropasal mpunga unakuja wa kutosha
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika [TLS] Boniface Mwabukusi ambae alikuwa mstari wa mbele pamoja na makamanda wa CHADEMA katika kuhubiri NRNE tayari amewageuka wenzake na sasa anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi.

Yaani kiufupi iko hivi, Mwabukusi akiwa na CHADEMA anasema No Rifomu No Eleksheni, akiwa na wanasheria wenzake wa TLS anawaambia waende wakagombee ubunge kwa kupitia CCM ili waende bungeni.

Hii ikufunue akili mwananchi, uache kuwa mtaji wa kisiasa wa wanaojiita wanasimamia msimamo wa No Rifomu No Eleksheni, kimsingi hakuna msimamo kama huo ndani ya chama cha CHADEMA na viongozi wanasimamia msimamo huo sababu ndio propozo waliopeleka wa wazungu wakapewa hela.

Propozo hiyo ndiyo inawafanya daily unasikia viongozi wa CHADEMA wanataka kwenda mara Canada, mara Ubelgiji wako wako airport, mara wako Namanga.....ni wanaenda kuchukua pesa zao za mradi wa NO RIFOMU NO ELEKSHENI ambazo zinaingia kwa awamu halafu wewe mtanzania wanakutumia ili ukajaze umati wapige picha wawatumie wazungu wanaowapa fedha hizo.

Hujiulizi Mwenyekiti wa chama ambae ni mwanasheria mkongwe na hata wao wanamtaja kuwa ni mwamba wa sheria Tundu Lissu ni kwa nini alitamka maneno ya "......tutafanya uhaini....." mbele ya vyombo vya habari, au unadhani ile ni siasa tu?

Alitamka vile akijua lazima atakamatwa sababu sheria zetu zinakataza maneno ya aina ile, shida yake akamatwe ili kuipa uzito propozo yao kwa wazungu na hela ziongezeke nyingi zaidi, ukidhani aliongea vile bahati mbaya, umejidanganya mtanzania!

Soma Pia: Rais TLS ampigia chapuo Nkuba Ubunge Kahama Mjini

Ni kwamba kila mtu anaeunga mkono NRNE ndani ya CHADEMA anakula mahala ambapo ana mkate wake, huyu Mwabukusi yeye akienda CHADEMA anasema No Rifomu, akirudi kwa CCM anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi yaani ni kama Ronaldo Cr7 wa siasa, anapiga miguu yote na header anaruka nazo pia!

Rudi kafanye kazi, acha kuwa ugali wa wanaharakati biashara wa watanzania.
CCM NI MRADI WA SAMIA , RIDHIWAMI, KIKWETE,NCHIMBI, MCHENGRWA hapo unasemaje?
 
No reforms No election ni kwaajili ya viongozi waroho wa chadema.S
 
Msimamo wa mwabukusi upo wazi, na akiwa kazini kwake Kila mtu ana mhudumia kadri alivyoenda, hata akienda mwanasheria mwengine wa chauma atampa maneno anavyotaka kuyasikia...kazini pale, ila msimamo wake unajulikana. Kupambana na wezi sugu "ccm" kama hamjafanya maboresho kadhaa ni ngumu kutangazwa hata kama umewashinda kura kwa Malaki 😆
 
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika [TLS] Boniface Mwabukusi ambae alikuwa mstari wa mbele pamoja na makamanda wa CHADEMA katika kuhubiri NRNE tayari amewageuka wenzake na sasa anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi.

Yaani kiufupi iko hivi, Mwabukusi akiwa na CHADEMA anasema No Rifomu No Eleksheni, akiwa na wanasheria wenzake wa TLS anawaambia waende wakagombee ubunge kwa kupitia CCM ili waende bungeni.

Hii ikufunue akili mwananchi, uache kuwa mtaji wa kisiasa wa wanaojiita wanasimamia msimamo wa No Rifomu No Eleksheni, kimsingi hakuna msimamo kama huo ndani ya chama cha CHADEMA na viongozi wanasimamia msimamo huo sababu ndio propozo waliopeleka wa wazungu wakapewa hela.

Propozo hiyo ndiyo inawafanya daily unasikia viongozi wa CHADEMA wanataka kwenda mara Canada, mara Ubelgiji wako wako airport, mara wako Namanga.....ni wanaenda kuchukua pesa zao za mradi wa NO RIFOMU NO ELEKSHENI ambazo zinaingia kwa awamu halafu wewe mtanzania wanakutumia ili ukajaze umati wapige picha wawatumie wazungu wanaowapa fedha hizo.

Hujiulizi Mwenyekiti wa chama ambae ni mwanasheria mkongwe na hata wao wanamtaja kuwa ni mwamba wa sheria Tundu Lissu ni kwa nini alitamka maneno ya "......tutafanya uhaini....." mbele ya vyombo vya habari, au unadhani ile ni siasa tu?

Alitamka vile akijua lazima atakamatwa sababu sheria zetu zinakataza maneno ya aina ile, shida yake akamatwe ili kuipa uzito propozo yao kwa wazungu na hela ziongezeke nyingi zaidi, ukidhani aliongea vile bahati mbaya, umejidanganya mtanzania!

Soma Pia: Rais TLS ampigia chapuo Nkuba Ubunge Kahama Mjini

Ni kwamba kila mtu anaeunga mkono NRNE ndani ya CHADEMA anakula mahala ambapo ana mkate wake, huyu Mwabukusi yeye akienda CHADEMA anasema No Rifomu, akirudi kwa CCM anahamasisha watu waende kwenye uchaguzi yaani ni kama Ronaldo Cr7 wa siasa, anapiga miguu yote na header anaruka nazo pia!

Rudi kafanye kazi, acha kuwa ugali wa wanaharakati biashara wa watanzania.
Toka uingie menopause umekuwa mpuuzi sana
 
Pumba tupu
 
Back
Top Bottom