GE2025 Tukiwaambia 'no reforms no election' ni mradi wa watu wachache mnabisha! haya sasa!

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nakubaliana na wewe,ni kweli NRE ililenga CHADEMA wapige mafekeche,,Ila mpango huu waasisi wake namanisha uongozi wa Kamanda Mbowe uliazisha Slogan hii wakilenga kuwatega watala wajae kwenye 18 waitwe ili wakubaliane,bahati haikuwa kwao mana wajumbe walikuwa washaijua tabia ya Ex Chairman wao na baazi ya wajumbe wa kamati kuu,wakaamua kuwatema,akaja yule bwana wa ikungi,na yule dogo wa tarime yulee mkulya,wakaichukua NRE Kama ilivo na kuisimamia kikamirifu, hapa ndo uliwaona wabunifu wa mradi huu akina mwalimu,kigaila na kale kajamaa ka kichaga kalee kafupi kuwa hapa mradi umeingia doa,nadhani tunakumbuka walivyoaanza kuikana,wengine walikosa hata tafasiri ya NRE walipokutana na maswali mazito ktoka kwa wanahabari mahili kama akina Odemba,,so NRE ilikuwa mradi wa wale wanachama wapya wa CHAUMA.
 
Nakubali
 
Huyo fake alitoka deep bob walituchezesha
 
Unataka kuaminisha umma kwamba NRNE ni shinikilizo kutoka kwa watu flani flani??
Sio kweli,.
NRNE, ni Fikra ,ni Logic,ni Conscious...na ni Simple.
 
Unapata tabu kwa kutengeneza story zako katika kauli za watu haya tupe uthibitisho
 
CCM imekuwa kama kusanyiko la nzi yaani vichwani yamejaza ujinga.

Maandishi mengi ujinga ujinga na ulaghai.
Yaani huo muda wa kutenga upuuzi si bora ungejifunza hata kutengeneza ubuyu uuze.

Pumbavu kabisa na lazima tuwaondoe madarakani hamuwezi kutuharibia nchi yetu ionekana ni taifa la hovyo kisa mko madarakani
 
...Pole. No Reform No Election....✌️✌️
 
Ni kundi la vibaka vimeshika nchi
 
Ukiona chawa wanazidi kuongezeka ujue uchafu umezidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…