Tukiweka siasa nje Rais Barack Obama ni moja ya watu waungwana sana!

Tukiweka siasa nje Rais Barack Obama ni moja ya watu waungwana sana!

Sitamsamehe kwa kuiharibu Libya ,nchi ilikuwa na amani lakini katika utawala wake akiwa amiri jeshi mkuu yeye ndie mshika bendera wa ile vita ya kidhalimu na kifisadi dhidi ya Ghadaffi
Gaddafi alijitakia mwenyewe, Unaongozaje wenzako miaka 40 kwani nchi nzima wewe tu ndo ulizaliwa na sifa za kuwa Rais. Ni sawa na Mtu asaidie uvamizi wa kumuondoa Museveni madarakani harafu ajitokeze mtu kulalamika.
 
Ana madhaifu mengi kama binadamu, alifanya makosa kama binadamu lakini ukimfuatilia vizuri huyu Mzee utatambua kwamba ni moja kati ya watu waungwana mno.

Kuna baadhi ya mambo mabaya alikuwa anafanyiwa nadhani ni vigumu binadamu wa kawaida kuyachukulia kirahisi au hata kuyapuuza. Mtu wa kawaida tena mwenye mamlaka makubwa ukizomewa na mtu mmoja wakati unatoa hotuba nadhani ni lazima utatoka nje ya mstari kwa hasira tu.

Lakini huyu mzee kuna mambo makubwa ambayo aliyachukulia kawaida sana, nadhani ni watu wachache sana wenye mamlaka wanaweza kufanya kama yeye alivyofanya. Huu ni uungwana wa hali ya juu sana. Ukitazama video ambayo nimeambatanisha hapa nchini nadhani kuna kitu cha kujifunza.

Km Mkwere alikua ananangwa hadharan wengine mpaka wakamwita kiongoz dhaifu na ingawaje yey ana mamlaka lkn aliuchuna tu km hakuna kilichotokea.
 
Km Mkwere alikua ananangwa hadharan wengine mpaka wakamwita kiongoz dhaifu na ingawaje yey ana mamlaka lkn aliuchuna tu km hakuna kilichotokea.
On personal level Mkwere ni mtu muungwana mno: Kuna mambo mabaya tulimfanyia lakini aliyapuuza!
 
Hivi Karibuni Katika Kile Kipindo HOTTEST kiitwacho 60 MINUTES...alihojiwa kiweledi na kujibu KIBOBEVU MNO....

Aliulizwa kwa nini amekuwa MPOLE hata kwa watu waliokuwa WANAMSHAMBULIA NA KUMKEBEHI....akajibu ya kwamba YEYE ANAHESHIMU MAWAZO YA WATU hasa OPPONENTS WAKE na hizo ndizo TENETS za DEMOKRASIA na UTU....

Alisema kuwa siku yake ya mwisho kabisa pale OVAL OFFICE WH aliandika kwa mkono "kinoti" na kumuachia RAIS ALIYEMFUATA....

Kinoti hicho kilisema "hii ni ofisi ya umma,ridhaa ya wamarekani ndiyo inayotuingiza humu...kwa hiyo tuuheshimu mchakato wa KIDEMOKRASIA na tuutambue pindi tunapokataliwa RIDHAA ya kuwa humu"
👆👆
Exactly alikuwa Kama ANATABIRI KILICHOKUJA KUTOKEA hivi Karibuni.....

Mchakato wa KUIJENGA demokrasia ni mrefu mno...una gharama na vikwazo vingi,Wamarekani hawawezi KUKUBALI waliyoyapambania YAWE MISUKUSUKONI simply kwa kuwa kuna SELFISH POWER MONGERING SOULS...simply Kuna NATIONALISTS wanaoweka pembeni PATRIOTISM ....
 
Back
Top Bottom