Gaddafi alijitakia mwenyewe, Unaongozaje wenzako miaka 40 kwani nchi nzima wewe tu ndo ulizaliwa na sifa za kuwa Rais. Ni sawa na Mtu asaidie uvamizi wa kumuondoa Museveni madarakani harafu ajitokeze mtu kulalamika.Sitamsamehe kwa kuiharibu Libya ,nchi ilikuwa na amani lakini katika utawala wake akiwa amiri jeshi mkuu yeye ndie mshika bendera wa ile vita ya kidhalimu na kifisadi dhidi ya Ghadaffi
Km Mkwere alikua ananangwa hadharan wengine mpaka wakamwita kiongoz dhaifu na ingawaje yey ana mamlaka lkn aliuchuna tu km hakuna kilichotokea.Ana madhaifu mengi kama binadamu, alifanya makosa kama binadamu lakini ukimfuatilia vizuri huyu Mzee utatambua kwamba ni moja kati ya watu waungwana mno.
Kuna baadhi ya mambo mabaya alikuwa anafanyiwa nadhani ni vigumu binadamu wa kawaida kuyachukulia kirahisi au hata kuyapuuza. Mtu wa kawaida tena mwenye mamlaka makubwa ukizomewa na mtu mmoja wakati unatoa hotuba nadhani ni lazima utatoka nje ya mstari kwa hasira tu.
Lakini huyu mzee kuna mambo makubwa ambayo aliyachukulia kawaida sana, nadhani ni watu wachache sana wenye mamlaka wanaweza kufanya kama yeye alivyofanya. Huu ni uungwana wa hali ya juu sana. Ukitazama video ambayo nimeambatanisha hapa nchini nadhani kuna kitu cha kujifunza.
On personal level Mkwere ni mtu muungwana mno: Kuna mambo mabaya tulimfanyia lakini aliyapuuza!Km Mkwere alikua ananangwa hadharan wengine mpaka wakamwita kiongoz dhaifu na ingawaje yey ana mamlaka lkn aliuchuna tu km hakuna kilichotokea.
Gaddafi alipewa muda wa kujisalimisha ili kuepuka vita ila alisema atapigana mpaka tone la mwisho. Kulikuwa hakuna namna nyingine.Ktuulia Gaddafi [emoji17]
Uko sahihi kabisa mkuu, hata vyama vya upinzani vinatambua hili.On personal level Mkwere ni mtu muungwana mno: Kuna mambo mabaya tulimfanyia lakini aliyapuuza!