Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kesi ipi ya Trump ni ya kisiasa?Marekani nakukatalia,hata ufaransa,kwingine sijafuatilia sana,marekani angalia habari ya kesi za Trump ni zakisiasa 100% tena siasa yenyewe ina mkono hata wa Ulaya wa kile wanachokiita NATO,wafaransa angalia habari ya tangu uchaguzi wao wa karibuni na kinachoendelea,wengine kama wajerumani wanaenda kwa tahadhari hata sasa ila bado mambo sii shwari kwao.
Kwa nini Biden Rais aliye madarakani kajitoa kugombea urais wa Marekani?
Nini kinaendelea Ufaransa?
Mambo yapi sio shwari kwa Ujerumani?